Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pole mtani ndiyo raha ya mpira ningekua karibu ningekupa leso .... Ligi bado haijachanganya mjipange sept 12 maana tutawapa tena maumivu ..... Nakuoneaje huruma ingawa unajikaza

Mtani ni rahisi sana kufungwa na Swansea kuliko kufungwa na LFC, hata utupeleke sasahivi uwanjani mtani tunakufunga........
 
Hahahahahaaahaaaaa

cc everlenk CUTEb and all manure fans

Mtani it is a fake results in Mournhio's Voice........Mtani tushaolewa na Swansea wenziyo tuite tu baba mbili moko......maana three times matokeo ni haya haya tushajikubali Swansea ndo wajanja wetu......ila this time OT tutavunja ndoa karibu sana siku hiyo......
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaaa nani amenuna ..... Kwani kuna mtu kaibiwa..... Teeehe teeeehe GOMIS ... Manure eeeeh eeeeh manure
 

Attachments

  • 1440956720932.jpg
    1440956720932.jpg
    27.1 KB · Views: 127
Nzi maskini ameganda choo cha shimo sauti ya Nzi Leo imepigwa Paaaaaaa kimyaaaaaa.
 
Hahaa FA wangeruhusu tungepanga kikosi cha academy tu

Hahhahahahha mtani mimi ni mgonjwa lakini nina afadhali naenda hata kwa Mangi kujinunulia panadol wewe uko ICU kabisa unapumulia Oxygen, mashine ikizima tu nishakupoteza.....lol
 
Back
Top Bottom