Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

2BCF8B8D00000578-0-image-a-16_1440951835221.jpg


International break chacha na keshokutwa dirisha ndo linakomewa hakuna kutembeza mpunga tena
what you have is enough .... ...

Kamwambie Wenger haya maneno Benzema vipi anakuja au?..........
 
Swansea ni bogey team ya Manu HAINA ubishi!
Dah! Huyu Ayew nimemcheki toka mechi ya kwanza siamini kama alikuwa ni free agent au alilazimisha mkataba wake na Marseille uishe!! Ni hatari na hana ubishoo, amakaba, anatengeneza, anafunga na anapoteZa muda kwa ajili ya wenzake wajipange!

Tushakuwa wateja wao tuite kina baba mbili moko. .........
 
Daah mi nilidhan wiki hii ntakuwa nawacheka tu Majogoo na wazee wa Daraja kumbe wote njia moja
 
Hahahhahahaa!!!! Najutraaaaaaaaaa kwanini jana sikukulegeza kabisaaa nilifanya kosa sana kukufufua tena matokeo yake maombi yako yakafika mbinguni.....

Pole mtani ndiyo raha ya mpira ningekua karibu ningekupa leso .... Ligi bado haijachanganya mjipange sept 12 maana tutawapa tena maumivu ..... Nakuoneaje huruma ingawa unajikaza
 
Nadhani Rooney kashakua flop kbsa aisee tunahitaji another striker kwa kwel mwenye nguvu na uwezo wa kuchambua mabeki
 
ImageUploadedByJamiiForums1440956169.234096.jpg

Kwa hii fixture na striker tulio nao naona kabisa Man Utd tutasumbuka sana kutoboa.
 
Back
Top Bottom