Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Acha tu Wangu pale mbele ni butu sana panatakiwa kunolewa, big up kwa safu yetu ya Ulinzi.....

"Mpaka sasa" tunavyokwenda siku timu ngangari ikianza kutufunga sijui kama tutashinda hiyo mechi-- kumbe timu yako ya pili nayo inacheza sasa
 
"Mpaka sasa" tunavyokwenda siku timu ngangari ikianza kutufunga sijui kama tutashinda hiyo mechi-- kumbe timu yako ya pili nayo inacheza sasa

Tuombe marekebisho yatokee, ila kila siku tunaimprove na siku ya leo ndo imedhihirika kabisa waziwazi hata kipofu kaona kwamba pale mbele ni matatizo.

Mara ya mwisho kuona Mchepuko wangu alikuwa ameshachezea kimoko.....
 
Damian,Shaw,Smalling,Schneidelen na Mata wamecheza vizuri sana hizi game Rooney,Carick,Depay wanapaswa kuimprove.Tunaanza game slow sana ningependa Bastian angeanza mechi ijayo badala ya Carick,Bastian ni mzuri sana kupanda mbele kusaidia mashambulizi.Rooney anapangwa kwakuwa ni captain
 
Tunaongoza league

ImageUploadedByJamiiForums1439585746.042950.jpg
 
Memphis depay bado hajaonyesha uwezo wake anakuwa hajiamin, anababaika.

Akicheza janujaz akicheza winga timu haipandi mbele ila akicheza young timu inakua inaenda mbele.

Leo rooney alikuwa anakimbia tuuu.

Anahitajika mpishi anaeweza kupiga chenga , kulazimisha na kusumbua mabeki.
 
Damian,Shaw,Smalling,Schneidelen na Mata wamecheza vizuri sana hizi game Rooney,Carick,Depay wanapaswa kuimprove.Tunaanza game slow sana ningependa Bastian angeanza mechi ijayo badala ya Carick,Bastian ni mzuri sana kupanda mbele kusaidia mashambulizi.Rooney anapangwa kwakuwa ni captain

Kwani Captain hawezi anzia Benchi kidogo? Mimi naamini akikalia Benchi akili zitamkaa sawa....
 
Points 3 muhimu, magoal peleka la liga, ila pale kwa wazza nimeshaanza kuwa na wasiwasi nako, na ukuta wetu umekuwa wa chuma sasa ivi hatari..
 
Suala la DDG nadhani limekuwa handle vibaya na Moyes na mrith wake LvG.

Mosi ni ajabu Moyes alikimbilia kumpatia mkataba mpya Nani lakini akasahau kufunga mkataba mpya na DDG !

Pili sioni mantiki ya kuendelea na DDG wakati anataka kwenda Real Madrid huku mkataba wake ukiwa umebakia mwaka mmoja tu.Huu ni ujinga kwasababu kuendelea kubaki na mchezaji asiyetaka kuchezea timu huku unamlipa mshahara sidhani kama ni jambo jema.

Tatu Rear Madrid tayari wameshampata mtu wao kwasababu ya uzembe wa managers kushindwa kuangalia potential ya mchezaji.

Nne ni vyema Man siku za usoni ikaacha kusajili wavhezaji wa spain kwasababu kiwango kikienda juu wanakimbilia Real au Barcelona.

Tano kuendelea na DDG ni hasara kubwa anaweza kuharibu moral ya wachezaji wengine na bad image ya club.

DDG anamsumbua L. V. Gaal tu, angekuwa SAF angelimuuza hata kwa Sunderland kwa lazima na hela ndogo.
 
Back
Top Bottom