Toa Januzaj weka Ashley Young mashabiki tufurahie goli sasa hivi..
Defence imeimprove sana
Ila kitendo alichokifanya januzaj hakikubalik na ni cha uzalilishaj tunapaswa kukipinga kwa nguvu zote tukiwa kama wadau wa futbal
yah true, darmian na shaw wapo vzri tatzo lipo kwenye umaliziaji