Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
smalling ka improve sana
CH 14 aaseh daah huyu mzee mkatiliVifaa vinaingia sasa Herrera and Seb
Ila still tunahitaji Striker mwingine
rooney anaonekana ana mawazo sana utafikiri kapigwa kibuyu na demu miaka ya tisini!!
CH 14 aaseh daah huyu mzee mkatili
Hizo dalili nilishaziona sub atakayofanya sana sana ni Darmian na wakat tunahitaji goli lingine kukill hii gemuSioni dalili kama atacheza leo....
Mechi nyingi za Utd siku hizi shot on goal zinakuwa 1 zikizidi sana 3 {mpaka sasa shot on goal ni 1 inakwenda dakika ya 70}
Rafael alisema kuhusu kitu/tatizo la LVG..... ninahisi kuna ukweli fulani
rooney anaonekana ana mawazo sana utafikiri kapigwa kibuyu na demu miaka ya tisini!!
Huyu Rooney next match anatakiwa aanzie Benchi ndo akili zitamkaa sawa......
Ushindi ni Ushindi tuu hongera Utd ila bado tuna kazi
Next vs Brugge