Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

De Gea anaingia kwenye reli ya LVG,Madrid walimdanganya now asipoangalia atasugua sana benchi.Kwangu nakubaliana na LVG, Madrid walijua watamchukua kiulaini bora aondoke bure next season

DeGea angesign mkataba mnono na united ili madrid wakimtaka watoe hela ndefu.
Kila mtu anapata faida, hii ya kugoma kusign mkataba mpya. Sijaiafiki.
Binafsi naona bora aondoke tu, japo alikuwa msaada wetu sana.
 
Ata mimi namshangaa uyu dogo maana sehemu nyingi wachezaji hasa akiwa anathaminiwa ktk club hiyo uwa wanafanya hivyo lakini naona tofauti sana kwa uyu dogo utadhani alikua athaminiwi vile
 
Naona De gea kawa kama kina Adebayor, Reyes, RVP walivyofanya Arsenal. Utakuta akienda Madrid atacheza msimu mmoja au miwili then watamtosa kama wachezaji wengine.
 
Naona De gea kawa kama kina Adebayor, Reyes, RVP walivyofanya Arsenal. Utakuta akienda Madrid atacheza msimu mmoja au miwili then watamtosa kama wachezaji wengine.

Si ndio hapo anashindwa kuangalia mfano akina Fabregas,Robben...
 
ImageUploadedByJamiiForums1439509897.758571.jpg
 
“Frans Hoek [United’s goalkeeper
coach] has a meeting with David de
Gea and he asks him, ‘Do you want to
play?’ ” said Van Gaal.

Quizzed on De Gea’s response, Van
Gaal said the goalkeeper said “no”.
United later clarified that the Spanish
keeper “was not eager to play because
of the situation and because he was
not 100 per cent focused due to all the
rumours surrounding him”.

Explaining the predicament he was
in, Van Gaal said: “Then I have to
take the decision. It is a process. We
had been observing him in
preparation. He was not so good, he
was not the same David de Gea as
before. He was my best player last
season. According to the fans, he was
the best of the last two years.
But Van Gaal, who picked the
Argentine Sergio Romero in goal
against Tottenham Hotspur on
Saturday, says the door will be left
open for De Gea to return.

“He was fully agreed with our
decision. I have one assistant coach
and another assistant coach so we
speak about that kind of thing. We
have a goalkeeping coach. I’m not
doing everything alone.”

“That depends on Romero also and his
form. It is always like that,” Van Gaal
said. “[At the moment] It is the same
situation. He remains out of the
squad. Normally yes, Sergio Romero
stays in goal.”
 
I said it before,your obsessed with UNITED....Nafurahi kuona mtu wa Liverfool anavyotufatilia Team yetu.

Huyo yaelekea kajihifadhi Chelsea kwa sasa ili kujiliwaza,you can see the way he defends them.Ndio maana mashabiki wa Chelsea tumewapa jina la 'rent boys' yaani 'wapangaji' wakati wowote wanaweza kuhama.
 
Ata mimi namshangaa uyu dogo maana sehemu nyingi wachezaji hasa akiwa anathaminiwa ktk club hiyo uwa wanafanya hivyo lakini naona tofauti sana kwa uyu dogo utadhani alikua athaminiwi vile

Ni bora tufungwe kihalali kuliko kufungishwa na dogo anaelilia kwenda kwao.
 
Huyo yaelekea kajihifadhi Chelsea kwa sasa ili kujiliwaza,you can see the way he defends them.Ndio maana mashabiki wa Chelsea tumewapa jina la 'rent boys' yaani 'wapangaji' wakati wowote wanaweza kuhama.

Ungesema mashabiki wa LFC wamewapa Chelsea jina la "Rent boys" ingesound vizuri sana, Coz LFC fans ndo walianzisha hiyo chant (2006/2007) and ikapata MOTO zaid 2011 baada ya Toress kujoin Chelsea...so toa credits kidogo brother.
 
“Frans Hoek [United’s goalkeeper
coach] has a meeting with David de
Gea and he asks him, ‘Do you want to
play?’ ” said Van Gaal.

Quizzed on De Gea’s response, Van
Gaal said the goalkeeper said “no”.
United later clarified that the Spanish
keeper “was not eager to play because
of the situation and because he was
not 100 per cent focused due to all the
rumours surrounding him”.

Explaining the predicament he was
in, Van Gaal said: “Then I have to
take the decision. It is a process. We
had been observing him in
preparation. He was not so good, he
was not the same David de Gea as
before. He was my best player last
season. According to the fans, he was
the best of the last two years.
But Van Gaal, who picked the
Argentine Sergio Romero in goal
against Tottenham Hotspur on
Saturday, says the door will be left
open for De Gea to return.

“He was fully agreed with our
decision. I have one assistant coach
and another assistant coach so we
speak about that kind of thing. We
have a goalkeeping coach. I’m not
doing everything alone.”

“That depends on Romero also and his
form. It is always like that,” Van Gaal
said. “[At the moment] It is the same
situation. He remains out of the
squad. Normally yes, Sergio Romero
stays in goal.”

Nasali sana, De Gea aondoke hapo, ikifika 2nd september hajaondoka, ntaumia sana..hope Madrid can Pull this up..
 
Back
Top Bottom