Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
wakuu nyie mna zali nomaa.hongereni sana.
ALEX FERGUSON admitted Manchester United should have had Gary Neville sent off during their 2-1 win at West Brom. Javier Hernandez's 75th-minute header proved enough to give United a narrow victory at the Hawthorns and keep them top of the Premier League But the Baggies were seething at referee Chris Foy's failure to punish Neville's first-half lunge on Graham Dorrans with a penalty and a red card.
Mkuu msimu huu tuna zali sana, kuna mtu nimemwambia miungu wa soka wako upande wetu msimu huu.You were lucky today not to lose the game!
</p>Ebanae waungwana kuna uvumi kuwa Fergie anajaribu kumleta Kaka kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu with option of a permanent move.
Ebanae waungwana kuna uvumi kuwa Fergie anajaribu kumleta Kaka kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu with option of a permanent move.
Gossip au rumour? Hiyo article iko kwenye daily star.I would like to know the source of this gossip. Let it not be THE SUN Please!!!
Naomba wale wenzangu wa kutoka Old Trafford tuendelee kushangilia ushindi wa leo. Tuendelee kuzibua vizibo.
Tumeona mchezo wa vijana wapya, Pique na Simpson.
Kanyaga twende.
Naomba hayo maneno ya MzalendoHalisi,Harage na Idimi myaseme mwisho wa msimu kwani still the leaague is hot unapoisema Man hiki kipindi sio wakati wake unaujua moto wa Man United unatafuta ubigwa let wait the tunakutana hapa JF tenan nitawakumbusha
WAYNE ROONEY netted his first goal from open play since March as Manchester United bagged all three points at West Brom. He hasn't scored to be precise in
277 days, more than 1,417 minutes of football.
Our doctor thought hed be out for a couple of weeks but he came back on, said Ferguson. He showed courage. I thought his performance was world class. West Bromwich manager Roberto Di Matteo was seething after his team were denied a first-half penalty following a challenge which he insisted should have seen Uniteds veteran defender, Gary Neville, sent off for scything down Graham Dorrans.
Still bado tatizo ni lile lile kutokuwepo kwa Nani,Valencia,Giggs & Park tunahitaji sana Winga ,Striker hawapati mipira kabisa wapinzani wanadominate kiungo Carick/Gibson wanacheza utumbo tuombe babu Scholes arudi.Tunakwenda hivyo hivyo huu sio wakati wa kupoteza game kabisa na vitimu vidogo vimepania sana
Hehehe....Hiyo draw mtaitoa nyie hapo kesho.draw inatosha leo wakuu.