Mjomba si umeona kulia kwa fletcher na gnev tunavyopwaya... I hope hii itakuwa mechi ya mwisho ya gnev ndani ya jezi ya man utd jamaa ni liability. Naona boss kabadilisha formation hapa tuone kama itafanya kazi.Ulitaka nani aanze?
Mjomba si umeona kulia kwa fletcher na gnev tunavyopwaya... I hope hii itakuwa mechi ya mwisho ya gnev ndani ya jezi ya man utd jamaa ni liability. Naona boss kabadilisha formation hapa tuone kama itafanya kazi.
Chicharitoooo!
Mkuu inabidi tuongeze goli lingine maana duh si unajua timu yetu mechi za ugenini kimeo.Umefuraaaaaaahiiiiii.....haya bana...Mtashinda hii game ....
Mkuu inabidi tuongeze goli lingine maana duh si unajua timu yetu mechi za ugenini kimeo.
Umefuraaaaaaahiiiiii.....haya bana...Mtashinda hii game ....
Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeewww......asavali. Preshaa ilikuwa Juuuuuuu!
Big sigh!! Point tatu muhimu kibindoni..Ila mechi ya leo roho ilikuwa juu. Tukutane jumanne. Happy New Year.
CONGRATULATIONS WAPINAZINI.......May be Gunnerz will do better than u......