Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Me sijawah kumkandia De Gea, nliumia tu yeye kuja UTD..dogo alikuwa ON FIRE Atletico kule...

Huyo Romero ni wale Makeeper ambao clubs zilikuwa zinamuhitaji kwa ajili ya BackUp, he's shite, kama De Gea akiondoka nlidhan mngeenda kwa Oblac, Hugo, etc zile calbre ambazo kwa kias flan zinamkaribia De Gea..but Romero LOL,

you should be very happy then!!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
I know Fergie alichowafanya mna haki ya kuendelea kulialia for the rest of your life

Am glad we've LVG siku hizi..

Shukrani za dhati board and owners wenu kwa kumleta Pale..:
 
What about sell Suarez and replace with Lambert and Baloteli?

Ndo maana nkakukaribisha kwenye BANTERS CLUB (LFC, Arsenal, Spurs), huku kumreplace xabi Alonso na kina Jan Paulsen, Torres na Caroll au Diaz na Balo, Thierry henry na chamakh, Bale na Lamela ni kawaida..naona ndo unakuja huku, KARIBU SAAANA, sema itakuwa ni WORLD RECORD banter kama ukimreplace De Gea na Romero consdering PULLING POWER mliyonayo..Di maria na Pedro LOL
 
Me sijawah kumkandia De Gea, nliumia tu yeye kuja UTD..dogo alikuwa ON FIRE Atletico kule...

Huyo Romero ni wale Makeeper ambao clubs zilikuwa zinamuhitaji kwa ajili ya BackUp, he's shite, kama De Gea akiondoka nlidhan mngeenda kwa Oblac, Hugo, etc zile calbre ambazo kwa kias flan zinamkaribia De Gea..but Romero LOL,

kumbe de gea kisha ondoka? au Romero kaja kwajili ya Valdez aliekwisha oneshewa njia
 
Bro anything can happen kwenye transfer window, ukizingatia summer hii De Gea anahusishwa na Move ya Madrid, so mpaka Transfer window litakapofungwa na De Gea akibaki United ndo tutajua United are safe with De Gea..
ImageUploadedByJamiiForums1438007758.295037.jpg
 
Bro anything can happen kwenye transfer window, ukizingatia summer hii De Gea anahusishwa na Move ya Madrid, so mpaka Transfer window litakapofungwa na De Gea akibaki United ndo tutajua United are safe with De Gea..
View attachment 271561

sasa kwann una judge as if de gea kisha ondoka tayari? hata hao AS they got nothing to talk about utd, hao ni vibaraka wa barca kama ilivo marca kwa Madrid, let's wait and see bado tuna safari ndefu hadi kufungwa kwa dirisha but kitu ninachoweza kukuthibitishia ni kwamba de gea tutakua nae msimu huu.
 
U mean Sergio R (lol) atakubali kuekwa benchi msimu mzima kweli???!
 
Players come and go but Manchester will still UNITED binafsi sina tatizo na De Gea ametufanyia kazi kubwa
The good thing is You Will Never Win Again

Bruh , mnapatakaga wapi nguvu za kubishana na watu kama huyo jamaa.??
 
Suala siyo kuondoka, suala ni kwamba unamreplace vipi huyo mchezaji???

Kwa suala la kuhusu replacements nakukaribisha kwenye "banters club"..kama ukimreplace De Gea na Romero itabid tukupe VIP membership Card kabisa..

Kama Brendan alivyomreplace Suarez kwa Balloteli, a a a a, acha kuchosha watu wewe.
 
Players come and go but Manchester will still UNITED binafsi sina tatizo na De Gea ametufanyia kazi kubwa
The good thing is You Will Never Win Again

Kama De Gea ameamua kuondoka basi aende sasa. Maana akibaki na ikitokea akifungwa mashabiki watamlaumu kwa kuwa alitaka kuondoka na LVG akambania.
 
Back
Top Bottom