Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sasa kwann una judge as if de gea kisha ondoka tayari? hata hao AS they got nothing to talk about utd, hao ni vibaraka wa barca kama ilivo marca kwa Madrid, let's wait and see bado tuna safari ndefu hadi kufungwa kwa dirisha but kitu ninachoweza kukuthibitishia ni kwamba de gea tutakua nae msimu huu.

Kila sehem nlyomtaja De gea nimetumia neno "kama" bro, soma post zangu vizuri Aisee!
 
Me ni mtu ambaye napenda sana kuona wachezaji wazuri wakifanikiwa na kucheza mpira kwenye clubs za maana, so suala la Di Maria kutaka kuondoka Manure Utd lazma nilifatilie kwa ukaribu zaidi, coz anakuwa anaondoka kwenye "the most shitiest Club" in the world to save his talent...

#DiMaria #MyHero
Huna lolote tatizo lako upo obsess na MAN UNITED...unafatilia kila kitu utakufa kinywa wazi we subiri tu.

#I Hate Liverpool to die.
 
Wakiwasili Chicago.....
 
Attachments

  • 1438087837456.jpg
    1438087837456.jpg
    46.9 KB · Views: 101
  • 1438087872478.jpg
    1438087872478.jpg
    56.5 KB · Views: 94
  • 1438087898431.jpg
    1438087898431.jpg
    46.1 KB · Views: 93
  • 1438087920568.jpg
    1438087920568.jpg
    48.3 KB · Views: 93
  • 1438087947868.jpg
    1438087947868.jpg
    35.3 KB · Views: 87
  • 1438087970328.jpg
    1438087970328.jpg
    62 KB · Views: 93
  • 1438087990960.jpg
    1438087990960.jpg
    48.4 KB · Views: 93
  • 1438088006507.jpg
    1438088006507.jpg
    64.3 KB · Views: 94
Nimekupata Bruh,tatizo jamaa kule kwenye page yao ya Liverpool ndo anaongeleaga mpira kama shabiki wa kweli, ila uku anakuja kutapika utumbo tu kama sio mtu wa mpira,

watu kama hao unawapotezea tu wala usidili nao.
 
Nimekupata Bruh,tatizo jamaa kule kwenye page yao ya Liverpool ndo anaongeleaga mpira kama shabiki wa kweli, ila uku anakuja kutapika utumbo tu kama sio mtu wa mpira,

Hata mimi siez kuja huku nikaanza kuwasifia..mwishowe utatutukana wote.

Sasa nisiseme mmemsajili Shwein**** na keshakuwa majeruhi hata preseason haijaisha.

Di Maria anaondoka na kabla msimu kuanza De Gea naye anaachana na litimu lenu bovu lilikuwa linabebwa na Ferguson na bahasha zake kwa marefa (sitasahau goli walilonyimwa Totenham dhidi yenu)....

Af nimesema ukweli utantukana..hahahahaha usipanick bro!
 
Manchester United manager Louis
van Gaal has warned David de Gea
that he could end up on the bench
at Old Trafford following the
signing of Sergio Romero. (Hii habari kaiandika mwandishi wa daily mail anaitwa IAN LADYMAN nae yupo Chicago na timu)
 
James Robson (sport journalist wa Manchester evening news ) kaandika hivi : As I've reported all summer. United
not interested in otamendi. Sources
say 'he's the new gaitan' No
interest in either
 
Manchester United manager Louis
van Gaal has warned David de Gea
that he could end up on the bench
at Old Trafford following the
signing of Sergio Romero. (Hii habari kaiandika mwandishi wa daily mail anaitwa IAN LADYMAN nae yupo Chicago na timu)

Wanatuchanganya kweli Romero ni mbadala wa DDG au Valdes?
 
Wanatuchanganya kweli Romero ni mbadala wa DDG au Valdes?

hawa jamaa wanachokifanya ni kuuza magazet yao, ukiangalia kichwa cha habari na content yake ni tofauti kabisa, van gaal alichokisema ni kwamba atakae onesha kiwango bora ndie atakae kuwa anaanza ukizingatia de gea ataondoka kuelekea Madrid so tunatakiwa kujiandaa na life after de gea.
 
Hata mimi siez kuja huku nikaanza kuwasifia..mwishowe utatutukana wote.

Sasa nisiseme mmemsajili Shwein**** na keshakuwa majeruhi hata preseason haijaisha.

Di Maria anaondoka na kabla msimu kuanza De Gea naye anaachana na litimu lenu bovu lilikuwa linabebwa na Ferguson na bahasha zake kwa marefa (sitasahau goli walilonyimwa Totenham dhidi yenu)....

Af nimesema ukweli utantukana..hahahahaha usipanick bro!
Ina maana FA walikuwa hawajui kuna bahasha zilikuwa zinatembezwa.....kwa marefa wake....?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom