Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"Its not a football move, its a lifestyle move. It tells me the player is weak and his wife runs his life" Roy keane on Di maria

Munure Utd fans LOL..

Hiyo kauli Keane aliitoa wakati yupo Sunderland...hajasema chochote kuhusu DI MARIA..
ImageUploadedByJamiiForums1437995745.380541.jpg
http://www.theguardian.com/uk/2007/aug/15/football.britishidentity
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
najua huwezi kuishi bila kufuatilia man utd....unajua kila kitu kuhusu man utd in details kuliko some man utd fans!!!!

Me ni mtu ambaye napenda sana kuona wachezaji wazuri wakifanikiwa na kucheza mpira kwenye clubs za maana, so suala la Di Maria kutaka kuondoka Manure Utd lazma nilifatilie kwa ukaribu zaidi, coz anakuwa anaondoka kwenye "the most shitiest Club" in the world to save his talent...

#DiMaria #MyHero
 
11813502_1515018261871718_4737528597226631673_n.jpg

the list is darn tooooooooooo long; Ramos, Bale and half of Europe is on the continuing list.
 
NCCR-Mageuzi watashinda uchaguzi wa Rais Tanzania kabla ya Muller, Lewa, Ronaldo and Pogba kujiunga na Manure Utd..
 
Me ni mtu ambaye napenda sana kuona wachezaji wazuri wakifanikiwa na kucheza mpira kwenye clubs za maana, so suala la Di Maria kutaka kuondoka Manure Utd lazma nilifatilie kwa ukaribu zaidi, coz anakuwa anaondoka kwenye "the most shitiest Club" in the world to save his talent...

#DiMaria #MyHero
Baada ya kuhama United ndio amekuwa your Hero?

Your hero is Slip G kwakuwa ameondoka unaweza kuhamia kwa Henderson au Baloteli

YNWA
 
Baada ya kuhama United ndio amekuwa your Hero

Your hero is Slip G kwakuwa ameondoka unaweza kuhamia kwa Henderson au Baloteli

Me ni fan wa wachezaji wazuri, Na Di Maria ni mmoja ya wachezaji ninaowakubali, same to RVP, De Gea, Falcao, Rooney and Morgan (such a shame he chose to join utd, considering he's a LFC fan, but i cant hate him for that, ts all abt money anyway, Hope he Flops though)

Just praying you continue to make them underwhelming signings summer hii, Di Maria and Falcao inawezekena mchango wao ulikuwa mdogo uwanjani, but ujio wao tu uliongeza momentum kwenye dressing rooms, kwenye pitch, kwa fans na kwa wachezaji wenyewe..but now you've got urselves Depay, Darmian, Bastian LOL, hope your transfer bznec ends this way

#Coutinho #MyHero
 
Scenes pale Madrid watakapotushangaza kwa DE GEA, kwenye dakika mbovu kabisa zile za deadline day...
 
Me ni mtu ambaye napenda sana kuona wachezaji wazuri wakifanikiwa na kucheza mpira kwenye clubs za maana, so suala la Di Maria kutaka kuondoka Manure Utd lazma nilifatilie kwa ukaribu zaidi, coz anakuwa anaondoka kwenye "the most shitiest Club" in the world to save his talent...

#DiMaria #MyHero
Alipoondoka Madrid.., Madrid ilikuwa. ........?
 
Players come and go but Manchester will still UNITED binafsi sina tatizo na De Gea ametufanyia kazi kubwa
The good thing is You Will Never Win Again

Suala siyo kuondoka, suala ni kwamba unamreplace vipi huyo mchezaji???

Kwa suala la kuhusu replacements nakukaribisha kwenye "banters club"..kama ukimreplace De Gea na Romero itabid tukupe VIP membership Card kabisa..
 
Me ni mtu ambaye napenda sana kuona wachezaji wazuri wakifanikiwa na kucheza mpira kwenye clubs za maana, so suala la Di Maria kutaka kuondoka Manure Utd lazma nilifatilie kwa ukaribu zaidi, coz anakuwa anaondoka kwenye "the most shitiest Club" in the world to save his talent...

#DiMaria #MyHero

Kwako kila anayesajiliwa na UNITED ni flop ushasema Mata, Herrera, Shaw,Blind,Falcao,Depay ni magarasa so sikushangai ila wakiondoka wanakuwa your Hero I hope hata John Evans akiondoka atakuwa hero wako
 
Yeah, coz anakuwa amefanya maamuzi sahihi ya kuondoka kwenye "the most shitiest club in the world"

Damn, i hate manchester utd man..tbh
 
Suala siyo kuondoka, suala ni kwamba unamreplace vipi huyo mchezaji???

Kwa suala la kuhusu replacements nakukaribisha kwenye "banters club"..kama ukimreplace De Gea na Romero itabid tukupe VIP membership Card kabisa..

hebu tukumbushe misimu miwili au wa kwanza wa De Gea mlikuwa mnasemaje??!!
 
So who we'll be replacing Di maria?? Depay??? Or Pedro (????)..
 
hebu tukumbushe misimu miwili au wa kwanza wa De Gea mlikuwa mnasemaje??!!

Me sijawah kumkandia De Gea, nliumia tu yeye kuja UTD..dogo alikuwa ON FIRE Atletico kule...

Huyo Romero ni wale Makeeper ambao clubs zilikuwa zinamuhitaji kwa ajili ya BackUp, he's shite, kama De Gea akiondoka nlidhan mngeenda kwa Oblac, Hugo, etc zile calbre ambazo kwa kias flan zinamkaribia De Gea..but Romero LOL,
 
Back
Top Bottom