ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
Ina maana FA walikuwa hawajui kuna bahasha zilikuwa zinatembezwa.....kwa marefa wake....?
unashangaa nini sasa?! mbona hata goli la mkono la ufaransa lilipiwa pesa .............
Ina maana FA walikuwa hawajui kuna bahasha zilikuwa zinatembezwa.....kwa marefa wake....?
Hata mimi siez kuja huku nikaanza kuwasifia..mwishowe utatutukana wote.
Sasa nisiseme mmemsajili Shwein**** na keshakuwa majeruhi hata preseason haijaisha.
Di Maria anaondoka na kabla msimu kuanza De Gea naye anaachana na litimu lenu bovu lilikuwa linabebwa na Ferguson na bahasha zake kwa marefa (sitasahau goli walilonyimwa Totenham dhidi yenu)....
Af nimesema ukweli utantukana..hahahahaha usipanick bro!
Kukodorora kwa timu hii kumekifanya hiki kijiwe kiwe na heavy traffic kuliko miaka ya nyuma.
Uwivu huo.....!!!!....majukwaa yenu yamechoka watu Hawana hamu tena na timu zao.....uzuri wa Man U tuko active sana hata hali iweje haiwezi Pita siku bila mtu kupitia hapa? Wenzetu mkifungwa tu mnapotea hata wiki visingizio kibao,mashabiki mandazi nyie!!!!........hapa ndo OT buana Nyumba ya Maraha!!!! Amani ya wengi!!! [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=hater]#hater s[/URL] wenyewe msipopita hapa hamjisikiii!!! Na tunashukuru sasahivi mmeongezeka mmekuwa wengi hadi raha kila Mmoja kwa zamu yake anapitia humu......
Phuck you ni.gga
Damn, i hate LIVERPOLL till to dieeeeee...
mwaka huu povu lazima likutoke sana.