Angalia kibao kisiwabadilikie. Beki zenu za kina Evans na Jone ni majanga
Hatujamaliza kusajili mkuu
Sina imani na huyu van ugali kabisa
Ili malengo yetu yatimie msimu huu unaokuja....Depth ya squad lazima iwe kubwa ....daah kama jamaa atasepa mimi sitaunga mkono kuondoka kwake..bado namini atashine tu...mpira ni kitu cha ajabu leo hii ameflop si ajabu akaenda PSG akawasaidia Hata kuwapa UCL..Di Maria akiondoka nitaumia sana,LVG sijui anaijenga timu ya namna gani,Di Maria anapaswa kupewa second chance.
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha
Di Maria akiondoka nitaumia sana,LVG sijui anaijenga timu ya namna gani,Di Maria anapaswa kupewa second chance.
Safiii sana vijana wangu hamjaniangusha
Mtani nasikia jana mmetandaza soka hatari sana kwa salamu za 13 days to go (EPL) .. Ile safu hatari inayoongozwa na yule messiah wa soka ilikuepo :what::what:
Hongera lakini mtani
Yaani ile timu ya watu wafupi kwa kutuabisha. Ila siku zote kwenye familia lazima atakuwepo mzushi tu, Valencia waliwatuliza Everton, tukawazima City, ila jamaa wakaona watie doa tu, smh!
Ila nakumbuka last pre-season mlituotea kama wao hivyo hivyo, na sisi hatukuwa na timu, only regular alikuwa Bale. Ningependa kuamini mko kwenye reli, na mtaleta changamoto, but i know better. United ni kama kama jamaa anayewekeza sana kwenye fore-play, ila panapo-matter anachemka.
Hahaha, i'm just hating bana. Congrats!
herrera, Papupi what up!!
PNC 1 kasema inaitwa MESSINEYMA FCAsante sana mtani.....kichapo ni kichapo tu haijalishi nani yuko nani hayuko lasivyo ingeitwa Messi Barca.