Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Atatufaa sana dogo

Sir Alex Ferguson’s greatest gift to Manchester United since he left the club.
1. In 2013-14 it was the emergence of Adnan Januzaj
2. Louis van Gaal’s first season in charge saw Tyler Blackett and Paddy McNair given significant playing time
.
3. And it is Pereira who could well be about to leave a great impression on the 2015-16 campaign. Having collected the club’s Under-21 Player of the Year award last term, there had been some suggestion the 19-year-old might take the Paul Pogba route out of Old Trafford by running down his contract. But a new three-year deal was signed soon after he made his Premier League debut against Tottenham, and he has gone on to excel with both country and now club over the summer months.
 
Kwa iyo de gea anaondoka free

DDG hana nia yakubaki....na kama angekuwa nayo angekuwa ameshasign mkataba mpya...kosa lilifanyika kutompa mkataba mpya kipindi kile cha DM...sasa R.Madrid wameonesha strong interest na yeye anataka kwenda kucheza kwao...kwa maana hiyo asiposign mkataba mpya mwakani ataondoka FREE
 
Sidhani huu ni wakati muafaka wa kumuuza Di Maria.
The man ana struggle sana kurudi kwenye kiwango chake, kumuuza sasa hivi ni kama wanamvunja moyo sana.
Apewe misimu mingine ya kucheza ila si kumuuza.

Cc Belo

Kwa mtizamo wangu sio vizuri kumuuza Di Maria but kumbuka kabla ya kutua United ilikuwa aende PSG but FFP iliwabana now wako free. Inasemekana tangu wavamiwe na majambazi mke wa Di Maria hayuko comfortable na maisha ya Manchester,na inaonekana LVG hamkubali Sana ndio maana mwishoni alikuwa anampiga benchi usajili wa Depay na Pedro una impact kwenye nafasi ya Di Maria na hadi sasa inaonekana Januzaj na Perreira watabaki. Kama PSG wakilipa at least £45m itakuwa ni deal nzuri kwetu
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo akivamiwa Paris atakimbilia Madrid au Milan ? Najua usalama wa maisha ni muhimu kuliko pesa unayolipwa lakini nadhani Wachezaji(baadhi) wa South America hawakosagi visababu vya kukataa kucheza EPL .
 
WAKUU nawasalimu wote GGMU

Mechi yetu ya na PSG ni alhamis saa ngapi,? Dahh Muda unachanganya!!!!
 
Kwa mtizamo wangu sio vizuri kumuuza Di Maria but kumbuka kabla ya kutua United ilikuwa aende PSG but FFP iliwabana now wako free. Inasemekana tangu wavamiwe na majambazi mke wa Di Maria hayuko comfortable na maisha ya Manchester,na inaonekana LVG hamkubali Sana ndio maana mwishoni alikuwa anampiga benchi usajili wa Depay na Pedro una impact kwenye nafasi ya Di Maria na hadi sasa inaonekana Januzaj na Perreira watabaki. Kama PSG wakilipa at least £45m itakuwa ni deal nzuri kwetu

Kwa hiyo akivamiwa Paris atakimbilia Madrid au Milan ? Najua usalama wa maisha ni muhimu kuliko pesa unayolipwa lakini nadhani Wachezaji(baadhi) wa South America hawakosagi visababu vya kukataa kucheza EPL .

Kwa kweli mimi siamini katika hilo la kusema kuwa ati hayuko comfortable na maisha ya Manchester baada ya kuvamiwa!

Labda kama kuna lingine. Ila hiyo sioni kama ndiyo sababu. Pengine hii inatengenezwa na anti-Man United media.

Haya ni mawazo yangu tu.
 
Kwa mtizamo wangu sio vizuri kumuuza Di Maria but kumbuka kabla ya kutua United ilikuwa aende PSG but FFP iliwabana now wako free. Inasemekana tangu wavamiwe na majambazi mke wa Di Maria hayuko comfortable na maisha ya Manchester,na inaonekana LVG hamkubali Sana ndio maana mwishoni alikuwa anampiga benchi usajili wa Depay na Pedro una impact kwenye nafasi ya Di Maria na hadi sasa inaonekana Januzaj na Perreira watabaki. Kama PSG wakilipa at least £45m itakuwa ni deal nzuri kwetu

Kama Di Maria mwenyewe ametaka kuondoka sawa. Ila kama sisi ndo tunamlazimisha hiyo naona kama hatumtendei haki.
 
Sidhani huu ni wakati muafaka wa kumuuza Di Maria.
The man ana struggle sana kurudi kwenye kiwango chake, kumuuza sasa hivi ni kama wanamvunja moyo sana.
Apewe misimu mingine ya kucheza ila si kumuuza.

Cc Belo

inamaana hii posti hamna mtu anaruhusiwa ku comment zaidi ya Belo ? some sort of segregation
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli mimi siamini katika hilo la kusema kuwa ati hayuko comfortable na maisha ya Manchester baada ya kuvamiwa!

Labda kama kuna lingine. Ila hiyo sioni kama ndiyo sababu. Pengine hii inatengenezwa na anti-Man United media.

Haya ni mawazo yangu tu.

Lol anti Manchester United sentiment.
 
BREAKING NEWS : bein sport wametangaza kuwa majadiliano kati ya utd na PSG juu ya di maria yamekatika japo hawajaweka sababu nini lakini inaonekana kama utd wametaka warudishiwe kiasi kile kile walichomnunulia kutoka Madrid, ikumbukwe pia baadhi ya wamiliki wa PSG ( El Khelaifa) ni C.E.O wa bein sport (so hii inaweza kuwa na ukweli ndani yake)
 
Baada ya mashabiki wa mtaa wa pili,tatu na nne kuanza KUWEWESEKA na usajili wa MAN UTD sasa na makocha wao nao wameanza kuweweseka na kushindwa kuzuia kihoro chao..........

Arsene Wenger has questioned Manchester United's transfer policy, suggesting the club has sacrificed its principles in pursuit of glory.
United have spent close to £80m to lure the likes of Memphis Depay, Bastian Schweinsteiger and Morgan Schneiderlin to Old Trafford, while Wenger has signed just one reinforcement so far in £10m goalkeeper Petr Cech.

Kwa habari zaidi ingia hapo chini

Arsene Wenger questions Manchester United transfer policy | Football News | Sky Sports
 
Back
Top Bottom