Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1437573262657.jpg
    1437573262657.jpg
    39.7 KB · Views: 128

Attachments

  • 1437573975583.jpg
    1437573975583.jpg
    63.9 KB · Views: 120
  • 1437574004373.jpg
    1437574004373.jpg
    90.6 KB · Views: 118
  • 1437574028823.jpg
    1437574028823.jpg
    59.8 KB · Views: 115
  • 1437574049642.jpg
    1437574049642.jpg
    48.6 KB · Views: 112
  • 1437574066773.jpg
    1437574066773.jpg
    30.7 KB · Views: 106
  • 1437574086392.jpg
    1437574086392.jpg
    46.5 KB · Views: 111
  • 1437574105813.jpg
    1437574105813.jpg
    36.2 KB · Views: 113
Kuna kitu naona kinaboa kwenye uzi huu...to the extent unakaribia kupeta maana yake...naamini lengo kuu lilikua kutukutanisha mashabiki wa Manchester united tupeshane habari, tujadili mstakabadhi wa temu yetu na wakati flani kuitetea timu yetu inapobidi dhidi ya watani wa jadi e.g liverfoolz na wengine.
Sasa cha kushangaza siku hizi tunapoteza maana naona humu kumejaa watu kujibizana na kupeana personal attacks ambazo hata hazihusiani na mpira na kunawengine wamegeuza uzi huu ni wa kutuma salamu na chit chat na mambo mengine binafsi na yasiyo ya Manchester au mpira kwa ujumla.
Nafahamu kuna wachangiaji wazuri sana humu na wadau wakuu sana wa uzi ambao toka kitambo wapo na uzi lakini siku hizi naona wamepotea ghafla..pengine wanaona uzi unaanza kupoteza maana.
Ni rai yangu kwa sisi wadau na wapenzi wa Manchester na wa uzi huu ebu turudishe maana halisi ya uzi huu..kila mtu anauhuru wa kuongea na kuchangia atakavyo lakini uhuru bila mipaka ni fujo sasa.
Ni mtazamo wangu huu

poa poa mkuu umesomeka sana
 
Atatufaa sana dogo
 

Attachments

  • 1437585631111.jpg
    1437585631111.jpg
    60.4 KB · Views: 92
  • 1437585680002.jpg
    1437585680002.jpg
    45 KB · Views: 92
Kuna habari za Pedro kutua Man United

Mkuu ni kweli Pedro anazungumza na Man Utd na mazungumzo yapo kwenye "advanced stage" atatangazwa wiki hii.

LVG anataka usajili ukamilike mapema kabla ya msimu wa ligi kuanza na pia Pedro aje kusaidia kampeni ya kucheza zile play-offs ambazo ni muhimu sana wa watani wetu.

Mnapata mchezaji mzuri sana na pengine huo ndio mwisho wa Angel Di Maria ambae huenda akasajiliwa na PSG.

Haya mimi napita tu.
 
I think it's pretty clear that De Gea was
taken on tour to strengthen our position,
but he won't play, and he's almost
certainly not injured. It's also pretty clear
that Di Maria wanted PSG from the very
start, but they couldn't afford him last
season. Now that they can, I'd expect him
to leave as well. The issues we've had
with Valdes mean that he'll be out the
door soon too, so we will need a new
'keeper, and I think it's Romero.
The rumours of Pedro solve two issues we
have, a replacement for Di Maria, and
cover for Rooney. A while ago, before Di
Maria was set to leave, Van Gaal said we
were in for two more players: Romero
and Ramos. Now with Di Maria leaving,
it'll be three: Romero, Ramos and Pedro .
This way, Benzema to Arsenal and Reus
to Madrid makes sense.
Bayern saying they will sell no other
player to United makes sense.
Dortmund rejecting the sale of
Aubameyang to Arsenal makes sense.
Barcelona signing Arda Turan as cover to
replace Pedro makes sense.
But who replaces Ramos at Real Madrid?
Otamendi? NO I DONT THINK SO otamend anapenda sana kuja kucheza england hasa Manchester utd but Ed alisema hatupo interested nae so 80% he can move to city,
 
Pereira ana future nzuri sana kuliko hata januzaj nilimuona kwenye world cup ya watoto cha muhimu apewe nafasi.

Namkubali sana huyu dogo,yuko vizuri sana kipindi cha pili leo alivyoingia alikuwa ni man of the match
 
Napenda sana kufuatilia youngsters wa man utd but so far hatujafinikiwa kutoa top class player in recent year apart from Pogba.Wengi hawakazi kwa mfano Jazuzaj ana potential ila hajitumi sana na ana akili za kitoto.
 
Samp, lo svincolato Romero firma
per il Manchester United
Il portiere della Nazionale argentina
si è accordato per un triennale da
1,8 milioni netti a stagione. In Italia
nelle scorse settimane l'avevano
corteggiato Inter e Roma

hawa jamaa LA gazzeta wanasema tumeshamsajili huyu goli kipa Sergio romelo kwa mkataba wa miaka mi tatu na atakua analipwa €1.8 mill kwa mwaka, let's wait and see maana sina hata mzuka nae
 
Samp, lo svincolato Romero firma
per il Manchester United
Il portiere della Nazionale argentina
si è accordato per un triennale da
1,8 milioni netti a stagione. In Italia
nelle scorse settimane l'avevano
corteggiato Inter e Roma

hawa jamaa LA gazzeta wanasema tumeshamsajili huyu goli kipa Sergio romelo kwa mkataba wa miaka mi tatu na atakua analipwa €1.8 mill kwa mwaka, let's wait and see maana sina hata mzuka nae

Kwa iyo de gea anaondoka free
 
Sidhani huu ni wakati muafaka wa kumuuza Di Maria.
The man ana struggle sana kurudi kwenye kiwango chake, kumuuza sasa hivi ni kama wanamvunja moyo sana.
Apewe misimu mingine ya kucheza ila si kumuuza.

Cc Belo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom