Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya mashabiki wa mtaa wa pili,tatu na nne kuanza KUWEWESEKA na usajili wa MAN UTD sasa na makocha wao nao wameanza kuweweseka na kushindwa kuzuia kihoro chao..........

Arsene Wenger has questioned Manchester United's transfer policy, suggesting the club has sacrificed its principles in pursuit of glory.
United have spent close to £80m to lure the likes of Memphis Depay, Bastian Schweinsteiger and Morgan Schneiderlin to Old Trafford, while Wenger has signed just one reinforcement so far in £10m goalkeeper Petr Cech.

Kwa habari zaidi ingia hapo chini

Arsene Wenger questions Manchester United transfer policy | Football News | Sky Sports

Cc rubaman....Na bado watahaha sana mwaka huu....
 
Last edited by a moderator:
Baada ya mashabiki wa mtaa wa pili,tatu na nne kuanza KUWEWESEKA na usajili wa MAN UTD sasa na makocha wao nao wameanza kuweweseka na kushindwa kuzuia kihoro chao..........

Arsene Wenger has questioned Manchester United's transfer policy, suggesting the club has sacrificed its principles in pursuit of glory.
United have spent close to £80m to lure the likes of Memphis Depay, Bastian Schweinsteiger and Morgan Schneiderlin to Old Trafford, while Wenger has signed just one reinforcement so far in £10m goalkeeper Petr Cech.

Kwa habari zaidi ingia hapo chini

Arsene Wenger questions Manchester United transfer policy | Football News | Sky Sports

Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.
 
Hii ya leo siyo kama ya Jana.......mambo na nyakati hubadilika..........
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.

Ata wakimwaga pesa sn no 4 inawahusu au mtaa Wa 7. Kwani last season hawakumwaga mpunga mwingi? Waliishia wapi na hizo pesa?
 
Sasa inawahusu nini?? Hivi wewe unaweza kujadili jirani yako akinunua RR mpya au akitumia 50m kwenye fence ya nyumba yake eti useme siku hizi kabadilika anatumia hela zote hizo kwenye gari??!! Hizo enzi za SAF zimepita,pesa ipo inatumika na bado!
 
Hahahahaha waliishia preseason kuchapwa na Redbull 4-2.............pesa ipo matumizi yake kutumika,hakuna hela ya mawazo hapa.......
 
Sasa inawahusu nini?? Hivi wewe unaweza kujadili jirani yako akinunua RR mpya au akitumia 50m kwenye fence ya nyumba yake eti useme siku hizi kabadilika anatumia hela zote hizo kwenye gari??!! Hizo enzi za SAF zimepita,pesa ipo inatumika na bado!

shangaa na wewe dear,watu wanatumia 100m kujenga choo tu ......? Kila mtu anakula kwa Urefu wa kamba yake.......
 
Sasa inawahusu nini?? Hivi wewe unaweza kujadili jirani yako akinunua RR mpya au akitumia 50m kwenye fence ya nyumba yake eti useme siku hizi kabadilika anatumia hela zote hizo kwenye gari??!! Hizo enzi za SAF zimepita,pesa ipo inatumika na bado!
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.
 
tatizo lako wewe chochote asemacho Wenger kwako ni kama neno la msahafu au biblia! mpira wa sasa bila pesa hauwezekani!!!!

mabingwa wa epl misimu mitano iliopita wote ni timu zenye pesa. mkinunua nyinyi ni sawa wakinunua wengine wanatumia hela vibaya! OZIL,SANCHEZ mmewanunua kwa bei gani?
 
Mkuu kasome kila kilichosemwa na Wenger uelewe, usikadhanie "kichwa cha habari" kinachopotosha na 100% ya alichosema Wenger. In fact Wenger ameisifu Manchester United past and present na ameisifu Barcelona vile vile amesema Arsenal wanafuata nyayo ya systems zilizotumiwa na Barca na Manchester United zamani kujaribu kupata mafanikio bila ya kumwaga pesa nyingi.
Umesema kuwa timu zilizokuwa mabingwa miaka mitano iliyopita ni zenye pesa. Tofauti na ulichosema ni kuwa Manchester United ya SAF mwishoni ni kuwa haikumwaga pesa nyingi kama ilivyofanya baada ya kustaafu. Msimu wa mwisho wa SAF Manchester United ilitumia £53,400,000 kiasi ambacho mmekizidisha zaidi ya mara 4 ndani ya LVG only.
Sometimes wapenzi wa mpira wa Kiafrika ni vigumu kukubali "Their shi.ts stink" kila kitu ni passion bila kuwa realistics, objectives na rationals.Ni vigumu kuona wapenzi wa soka wa kiafrika(timu zote) wakikubali kuwa timu waipendayo haina chance ya kubeba kombe (hasa hasa kabla ligi haijaanza) mfano hivi sasa kuna wapenzi wa Arsenal hivi sasa wako 5000% kuwa tutabeba EPL wana overlook factors nyingine, vile vile kuna wapenzi wa Manchester United wanaamini ni guarantee watabeba kombe, lakini ukiingia forums za wanaosapoti hizi timu kifedha utapata mwanga tofauti na sisi tunavyoona. FYI kuna vitu asemavyo Wenger huwa sivikubali na najaribu kuelewa anavisemaga kwa lengo gani, ni hayo tu.
 
blah blah blah blah....sasa £53m ni ndogo??!! kawaulize crystal palace watakwambia timu inayotumia £53 ni ndogo au? utazunguka utaongea mengi ila mpira wa sasa bila hela mafanikio ni ndoto. ndio maana mlimnunua OZIL na SANCHEZ kwa hela mlizonunua otherwise umngetafuta SANOGO wengine.
 
Nakubali £150M imewaletea mafanikio makubwa kuliko £53M, very typical.
 
Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.

Zama zinabadilika mkuu.
Siku hizi mwenye kisu ndo anakula nyama.
Angalia timu nyingi zinazo spend ndo zinashika chat ya juu.
Kuna timu bila kuspend zisingekuwa hapo zilipo, mf. PSG, Chelsea, MCity etc.

Pia kuspend majina makubwa kuna faida kwa timu kuanzia mauzo ya jezi, mafaniko uwanjani, kujaza uwanja na kupata donge nono kwenye haki za matangazo.
Watu wapo radhi kununua jezi ya RVP au Shwein kuliko ya Wlbeck au Carzola.
Ushajiuliza Madrid wameingiza kiasi gani kupitia CR7?
 
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.

Malengo ya Totenham/ Liverpool ni tofauti na malengo ya Man Utd/Madrid au Barca.
Kila timu kwenye league ina malengo yake, kama Arsenal kukaa top 4.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Alichosema babu Wenger ni ukweli mtupu unless kama wewe ni mshabiki mpya wa Man United utapingana na hayo. Enzi za babu SAF Manchester United hawakuwahi kumwaga pesa kama walivyofanya misimu hii 2 (angalieni historia ya usajili ) na bado kuna chance mtavuka £100M mark msimu huu.
Jiulize kwann Barca wanamwaga mpunga kusajili wakina Neymer Suarez Rakitic A. Turan na wanmtaka na Pogba
Halafu compare na Barca ile ya Pep xi eleven
 
Mkuu kasome kila kilichosemwa na Wenger uelewe, usikadhanie "kichwa cha habari" kinachopotosha na 100% ya alichosema Wenger. In fact Wenger ameisifu Manchester United past and present na ameisifu Barcelona vile vile amesema Arsenal wanafuata nyayo ya systems zilizotumiwa na Barca na Manchester United zamani kujaribu kupata mafanikio bila ya kumwaga pesa nyingi.
Umesema kuwa timu zilizokuwa mabingwa miaka mitano iliyopita ni zenye pesa. Tofauti na ulichosema ni kuwa Manchester United ya SAF mwishoni ni kuwa haikumwaga pesa nyingi kama ilivyofanya baada ya kustaafu. Msimu wa mwisho wa SAF Manchester United ilitumia £53,400,000 kiasi ambacho mmekizidisha zaidi ya mara 4 ndani ya LVG only.
Sometimes wapenzi wa mpira wa Kiafrika ni vigumu kukubali "Their shi.ts stink" kila kitu ni passion bila kuwa realistics, objectives na rationals.Ni vigumu kuona wapenzi wa soka wa kiafrika(timu zote) wakikubali kuwa timu waipendayo haina chance ya kubeba kombe (hasa hasa kabla ligi haijaanza) mfano hivi sasa kuna wapenzi wa Arsenal hivi sasa wako 5000% kuwa tutabeba EPL wana overlook factors nyingine, vile vile kuna wapenzi wa Manchester United wanaamini ni guarantee watabeba kombe, lakini ukiingia forums za wanaosapoti hizi timu kifedha utapata mwanga tofauti na sisi tunavyoona. FYI kuna vitu asemavyo Wenger huwa sivikubali na najaribu kuelewa anavisemaga kwa lengo gani, ni hayo tu.
says a man who have not won the epl title for the past 11years managing a top club. Wenger has alot to worry in his squad let alone worrying about our transfer policy..
 
Ulichosema ndio tatizo letu wapenzi wa soka wa siku hizi. Tunataka na kuamini kuwa mafanikio ya kimpira yanatokana na kununua /kusajili wachezaji kwa pesa ndefu kila kipindi cha usajili. Liverpool na Tottenham Hotspur wametuonyesha kuwa kumwaga pesa sio suluhisho la kuwa na timu mbovu. Mkuu soma article kwa kutotumia jicho la kishabiki utaelewa Wenger alichosema.

mkuu nimeipitia hyo article mara mbili mbili, baadhi ya maeneo mzee ndio kaongea point lakini pia kuna baadhi ya sehemu mzee anajichanganya mwenyewe, anasema Manchester haiwapi nafasi watoto wa academy imewekeza sana katika kununua YES yupo sawa lakini si kwa % mia, tumeona kwenye tour young player kibao kaongozana nao, msimu uliopita tuliona akina blacket , Wilson , Pereira wakipewa nafasi, mwaka huu kawaongeza akina Johnstone, LA masia moja ya academy bora kuwahi kutokea MIAKA YA NYUMA xavi iniesta, messi Valdez wote wametokea huko lakini Leo barca inatoa £75 kwajili ya Suarez LA masia iko wapi? castilla imewatoa akina ma legend bora wa Madrid lakini leo Madrid wanaamua kumlipa £80k kinda martin toka Norway ili awe future yao, sasa kwann mda mwingi kautumia kuizungumzia utd wakati hata yeye kwenye kikosi chake anao wachache hao academy.

KUNA HII SEHEMU ANASEMA:
"Most of the clubs who have been
successful are clubs who have done that
well. You can take Barcelona of Man
United, who had a generation and built
their success on players who came from
within.
"These are our values and it is our DNA
and it's important we keep that.
"With United's success they have created
huge financial resources and today there
is no patience for them to continue to do
what they did - and they have the
financial resources to go with a different
policy. (nakubaliana nae)

ONA TENA HII SEHEMU ETI ANAJITOFAUTISHA NA MUFC
"We want to continue to combine
stronger financial resources with faith in
our philosophy and policy,"
"That means we want to continue to give
chances to young players and build the
players from inside our club with our
culture.
"Afterwards, if we can buy the
exceptional players, we can compete
today. But that will not be the basis of
our policy. (ina maana utd haiwapi chance vijana? sina uhakika kwa hilo)

BAADAYE KAONGEZEA NA HILI

"As well, they do not have available the
players like Paul Scholes, Ryan Giggs and
David Beckham inside the club, because
youth talent is spread more through 20
clubs than it was 20 years ago."

my word :
My comment is not related to this article
only.
Im sure once we have finished rebuilding
the team we will come back to our youth
policy.
So every summer we will see an addtion
of 1-2 first team players and few
youngsters promoted to frist team.
If.anyone thinks we will be spedning 150
mil every summer then i admire their
optimism.
 
Back
Top Bottom