Kama siyo yule goalkeeper, basi Sunderland walikuwa waondoke na kapu la magoli leo. Hongereni sana
![]()
khe khe kheeeeeeeeeeeeee
![]()
Nasikia mliokota tende jana wakati wengine tuko kwenye sikukuu, Duh! naona bora
muende tu kwa waarabu sasa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
</p>As I dont want Man Utd to win 2day is not as worse as I dont want to see Man City Up the Table.....So Good Luck man Utd....Wish u all three points out of it and Back to the summit of the EPL TABLE
As I dont want Man Utd to win 2day is not as worse as I dont want to see Man City Up the Table.....So Good Luck man Utd....Wish u all three points out of it and Back to the summit of the EPL TABLE
</p>Duuh mkuu wewe noma.Yani unamtakia kila la kheri man united ashinde kisa city anaongoza leo wakati kama man united akifungwa na sisi kesho tukishinda tunakaa kileleni?
Duuh mkuu wewe noma.Yani unamtakia kila la kheri man united ashinde kisa city anaongoza leo wakati kama man united akifungwa na sisi kesho tukishinda tunakaa kileleni?
Kuna Adui na Adui zaidi, I hate Man City in my Blood vesselz. So s'thing is always Better than Nothing......Thus why i Started with " As I dont want Man Utd to Win" Beside they still have a game in Hand...Dont worry pal....Coming May Arsenal TUTANYANYUA KWAPA.....Give it time..U will see
Utd wamekuwa contained in this 2nd quarter......