Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wanazi wenzangu wa Manutd J3 tutacheza na watoto wa Mzee Wenger sijui lini watakua kila siku anadai timu yake bado changa.Wakuu wangu kuna kila dalili Man itapiga bao nyingi kama walivyoichapa Blackburn Rovers nawaomba wanazi wa Arsenal msikimbie ukumbi mashetani wekundu wanjulikana siku zote wanchukua ubingwa kuanzia December.

Habari ndiyo hiyo.
 
Uzee utakuua. Hata Gabriel Robert Mugabe ana akili kama hizi ...... ...... anazeeka vibaya, usiige Tembo kunya mavi. Msiba mliopata kutoka kwa West Ham umeisha?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee ati mashetani wekundu wanjulikana ...
 
Hahahaha, Evra kiboko! Angalia anavyosema hapo chini.

Read more: Arsenal in crisis! Manchester United's Patrice Evra blasts Gunners | Mail Online
 
Uzee utakuua. Hata Gabriel Robert Mugabe ana akili kama hizi ...... ...... anazeeka vibaya, usiige Tembo kunya mavi. Msiba mliopata kutoka kwa West Ham umeisha?

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee ati mashetani wekundu wanjulikana ...

Heshima kwako wacha 1,

Mkuu ungekuwa unaishi Arusha tungeangalia wote mechi kipenga cha mwisho wa mechi aliyeshindwa anatandikwa bakora kutegemea idadi ya magoli.
 
Heshima kwako wacha 1,

Mkuu ungekuwa unaishi Arusha tungeangalia wote mechi kipenga cha mwisho wa mechi aliyeshindwa anatandikwa bakora kutegemea idadi ya magoli.

Mkuu mimi nipo hapa Makao Mapya chacha chema wewe tukutane wapi tuangalie hiki kinyang'anyiro ..... and then jiandae kwenye makalio maana bakora tayari tayarisha. Khe khe kheeeeeeeee
 
Mkuu mimi nipo hapa Makao Mapya chacha chema wewe tukutane wapi tuangalie hiki kinyang'anyiro ..... and then jiandae kwenye makalio maana bakora tayari tayarisha. Khe khe kheeeeeeeee

Ewaaa tuangalie Cinemas mkuu maeneo ya Njiro usiogope bei ya bia nitakulipia usafiri usijali kabisa.Usisahau Cinemas ni kiwanja cha Manutd usije na mijezi ya Arsenal utakimbizwa bure.
 
Ewaaa tuangalie Cinemas mkuu maeneo ya Njiro usiogope bei ya bia nitakulipia usafiri usijali kabisa.Usisahau Cinemas ni kiwanja cha Manutd usije na mijezi ya Arsenal utakimbizwa bure.

Khe khe khe si unajua tena mkishafungwa ni lazima nikupige bakora inabidi uje nyumbani kwangu njomba. Nitumie PM ili tuwasiliane. Njoo kwangu bana bia utakunywa za bure tu haina shaka usiwe na wasi wasi, njoo hata na rafiki zako tu mambo poa kabisa. Nikuchukue wewe pamoja na maswaiba wako wote wanoko wa Manure tukate mzizi wa fitna.

Khe khe khe kheeeeeeeee
 
Nimemind kwa mechi kubwa kama hii kupangwa jumatatu, nevertheless kwa wapenzi wa man utd mechi ipi kati ya hizi dhidi ya arsenal bado inakupa furaha; 1. 1999 giggs alipofunga wonder goal baada ya kupiga chenga nusu ya arsenal 2. Ushindi wa kishindo wa 6 - 1 mwaka 2001 3. Ushindi wa 3 - 1 kwenye nusu fainali ya ucl mwaka 2009?
 
Mimi sio mshabiki wa timu zote mbili, lakini I have to say lile bao la Giggs nusu fainali ya FA lilikuwa bab kubwa! Mabeki wa arsenil walikuwa wanaanguka kama nzige, simply brilliant.
 
Mimi sio mshabiki wa timu zote mbili, lakini I have to say lile bao la Giggs nusu fainali ya FA lilikuwa bab kubwa! Mabeki wa arsenil walikuwa wanaanguka kama nzige, simply brilliant.

...ha ha ha!

si useme tu baina ya Arsenal na Manure unashabikia Manure! I bet leo unaombea 'msiba' tu
kwa vijana wa Imarati...

anyway,...

(in no particular Order) Eqlypz, Manda, Belo, wapenzi wa Man United woooooote bila kumsahau BJ wa Ukweli! ..Time zinayoyoma, 20h00 GMT, msema kweli dakika 90 za mchezo unless referee awaongezee na zile bonus - 7mins kama kawaida.

Kila la heri katika utizamaji na ushangiliaji wa mechi ya leo!
There will always be One winner, hata kama ni kwa point moja moja.

Fair Play kwa wote 😛eace:
 
Mechi wamempa Web ni shabiki ile mbaya anawapendelea sana Manure na Chelsick ... .... .... lakini leo ngoma kubwa watalia tu.
 
Namtafuta Ngongo nina miadi naye leo naona kapotea .....
 
Mechi wamempa Web ni shabiki ile mbaya anawapendelea sana Manure na Chelsick ... .... .... lakini leo ngoma kubwa watalia tu.
Mmeshaanza kulialia kabla ya game
 
Mind games key in United clash

Mon Dec 13 11:41AM

Tonight's game at Old Trafford takes on a psychological importance. The Premier League won't be won tonight, but the game could have a significant impact on the players' state of mind and self-confidence.
United seem to be playing better and better; they are improving their performance game after game.
The strength of the team is emerging, and it is coinciding with Wayne Rooney's return to his best level.
United will be a serious rival for us in the Champions League and the Premier League, and I think they will be really hard to play against in the second half of the season.
They seem to have rediscovered their defensive stability, and if they can merge it with their attacking ability they will be very dangerous.
For us it is one of the biggest matches of the season, so of course our goal is to win. We have demonstrated that we are strong and efficient away from the Emirates Stadium.
We have only lost once away, against Chelsea, and we have a lot of regrets about the game at Stamford Bridge. We shouldn't have lost that match.
We didn't put in a great performance in our last game against Partizan Belgrade, and I think that most of my players had the match against Manchester United in mind.
Maybe we suffered from the 'fear of losing' syndrome, but we did what we had to do to qualify for the next round.
 
Rooney scored in both Premier League meetings with Arsenal last season and has seven in 16 league games against the Gunners in total.
 
Kusema kweli ningependa sana mtoe draw leo maana hiyo itatupa nafasi sisi. Lakini kama itatokea mkafungwa poa tu, maana kelele zitapungua hapa JF.
Seriously, my money is on draw.
 
Mechi wamempa Web ni shabiki ile mbaya anawapendelea sana Manure na Chelsick ... .... .... lakini leo ngoma kubwa watalia tu.

sorry unaana ukisinda umejitahidi ukifungwa umeonewa what a defensive mechanism?wacha bana leo na men vs boyz 2 -1.go manu go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…