Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkija kupiga porojo humu muwe na datas kidogo,sio mnaropoka tu kumbe hata magazeti hamsomi. Naamanisha magazeti yenye akili sio SANI AU KIU.

Tuangalie average age ya kila timu tuone kama man utd wanaweza kuitwa wazee,list hapo chini inaanza na timu yenye umri wa juu mpaka yenye umri wa chini

20. man city
19.crystal palace
18.qpr
17.stoke city
16.hull city
15.burnley
14.leicester city
13.west ham
12.wes brom
11.sunderland
10.chelsea
9.swansea8.everton7.aston villa6.southampton
5.arsenal
4.newcastle united
3.man utd
2.liverpool
1.tottenham

sasa man utd kaondoka RVP,32, wameingia depay 22,morgan 25,bastian 30,darmian 25 je umri wa timu utaongezeka au kupungua???!! Do the math!

Hawana lolote hawa........siyo siri usajili wa sasa umewaogopesha sana dunia yote inaongelea kuhusu Man U hivi vita vipo katika mitandao yote, mimi nashangaa kwanini uhangaike kwa usajili wa wazee si wafurahie kwamba njia yao itakuwa nyepesi wanaponda nini sasa, na watajinyonga sana msimu huu!!!!
 
Benteke tumtake kwa lipi si bora RVP angebaki, Firmino is not our type never ............

unajua yule wakala wa benteke ana akili sana, alivoona looserfool wanazingua zingua kutoa mkwanja akaamua aiataje manchester basi fastaa rodgers kakulupuka mzee £32 mill kwa benteke, hahahahaaa
 
Na sasahivi bila mchezaji kumlink na MU hawauzi,kwahiyo ili auzike lazima jina la MU lisimame Kati......chezeiya Man U wewe.....#GGMU
 
Mkija kupiga porojo humu muwe na datas kidogo,sio mnaropoka tu kumbe hata magazeti hamsomi. Naamanisha magazeti yenye akili sio SANI AU KIU.

Tuangalie average age ya kila timu tuone kama man utd wanaweza kuitwa wazee,list hapo chini inaanza na timu yenye umri wa juu mpaka yenye umri wa chini

20. man city
19.crystal palace
18.qpr
17.stoke city
16.hull city
15.burnley
14.leicester city
13.west ham
12.wes brom
11.sunderland
10.chelsea
9.swansea8.everton7.aston villa6.southampton
5.arsenal
4.newcastle united
3.man utd
2.liverpool
1.tottenham

sasa man utd kaondoka RVP,32, wameingia depay 22,morgan 25,bastian 30,darmian 25 je umri wa timu utaongezeka au kupungua???!! Do the math!

Bright future? All Premier League clubs RANKED by youngest line-ups this season | talkSPORT

mkuu pokea ma like ya kutoshaaaaaaa. hahaaaaa, waje tena, apo umeuaaa
 
hahahahaaa. mkuu nipo kwenye daladala unajua, nimecheka hadi watu wakanigeukia, Carrick, na Rooney wote waingeleza pamoja na akina milner na Dan lakin mbona hatujawah waona wakianzia benchi mbele ya hao jamaa zako?

Watu wanamahaba hadi yamezidi, Rooney awekwe bench na kichezaji cha looserfool au chelshity kweli!!!!!???
 
Mkija kupiga porojo humu muwe na datas kidogo,sio mnaropoka tu kumbe hata magazeti hamsomi. Naamanisha magazeti yenye akili sio SANI AU KIU.

Tuangalie average age ya kila timu tuone kama man utd wanaweza kuitwa wazee,list hapo chini inaanza na timu yenye umri wa juu mpaka yenye umri wa chini

20. man city
19.crystal palace
18.qpr
17.stoke city
16.hull city
15.burnley
14.leicester city
13.west ham
12.wes brom
11.sunderland
10.chelsea
9.swansea8.everton7.aston villa6.southampton
5.arsenal
4.newcastle united
3.man utd
2.liverpool
1.tottenham

sasa man utd kaondoka RVP,32, wameingia depay 22,morgan 25,bastian 30,darmian 25 je umri wa timu utaongezeka au kupungua???!! Do the math!

http://talksport.com/football/brigh...ed-youngest-line-ups-season-150210135843?p=19

Watakuwa wameelewa, wasipoelewa na hapo tutakuwa hatuna namna.
 
Mkuu umemaliza kila kitu.Tubishane kwa data na sio kwa fikra za kishabiki
 
Feel like bye bye Dave....

Daah litakuwa bonge la pengo and wish kama deal inafanyika ifanyike mapema replacement ifanyike on time

Akiamua kukubali mchezo wa kutoondoka this summer ili aondoke kwa free mwakani sitamsamehe....

labda asiende then asaini mkataba mwingine wenye release clause ambayo itakuwa win-win kuliko aende bure...
 
Karibu sana mkuu tuendeleze kuishabikia timu yetu bora kabisa, everlenk ebu muandalie mgeni maji ya kuoga mi naenda kumnunulia soda kwa mangi

Aaaah mkuu shukrani nyingi sana.

Nshafika hapa, nasoma upepo kwa mbali nikivuta pumzi mziki wa kesho.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana na jiskie uko nyumbani.

Shukrani sana Ever,

Nshakuonaga sehemu huko na huko nikawa najipitia hivi> kumbe ni mwenzangu kitimu kasoro kimwili..!!! Momieeeeee nimemsikia Papupi akikuagiza soda plz mwambie cute b anajua kinywaji nachotumia. Nashukuru sana kupata wenyeji wakarimu kama ninyi... oooohhhh lakini sishangai hii ndo sera makini ya Red deeeeeeeeeeeviiiiiiiiiiilllllllllll...!!!

Mkuu hebu panga kikosi cha kesho hapa.

Lineup kesho itakuwa hivi:1 Da Gea 2 Darmian 3 Blind 4 Smalling 5 Jones 6 Schneiderlin 7 Mata 8 Herrera 9 Rooney 10 Schweinsteiger 11 Depay
 
Hizi match si unajua kuwa hazina limit ya sub!!?? Tegemea mzunguko wa maana wa kikosi wakati LVG n Co. Wakitafuta kikosi kamili cha united kwa 2015/16 season

Mkuu umemaliza,

ila hapo 7 panaweza kuwa na mabadiriko kidogo au pasiwe na mabadiriko kabisa.. Anaweza kuanza Young, Mata akaubiri. Na au anaweza kuanza kushoto (11) kwa Depay then dogo akasubiri. Yote ni sawa tu

Kikosu cha Man U msimu huu ni balaa!! Kesheshe zaidi ni pale atakapoingia Ramos na Kane..!!! Nadhani kikosi cha Mwaka 2001-2004 kitakuwa kimerudi. Unakikumbuka kikosi kile... yaani ilikuwa timu ikiingi kwenye mechi tunajipangia magori, huyu tupige 6 huyu tupige 3... yaani balaa tupu.

BACK TANGANYIKA
 
Hizi match si unajua kuwa hazina limit ya sub!!?? Tegemea mzunguko wa maana wa kikosi wakati LVG n Co. Wakitafuta kikosi kamili cha united kwa 2015/16 season

Sawasawa kabisa mkuu,

Yaani kikosi hicho kinaweza kuanza halafu kikabadirishwa chote kipindi cha pili kama hivi..

1.de gea, 2.Rafael, 3.Luke Show, 4.Blacket, 5.Evans 6.Carrick, 7.Valensia, 8.Herrera 9.Chicharito, 10.Januzaj, 11.De Maria.

BACK TANGANYIKA
 
Back
Top Bottom