Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu wembee

Ni timu gani ndani ya EPL iliyowahi pata mafanikio mazuri ikiwa na kikosi cha wachezaji wachanga?

Chukulia mfano wa Arsenal.
 
Unafikiri hapapendi OT? Basi tu P ndo inampeleka RM wala hamna lolote, chezea mautamu weye!!!!....... cute bplizzzzzz msaidie kaka DDG asimkumbuke yule GF wake.

Angekubali kuwa na mimi ningehamia England alafu nampa free p sitaki kijana ateseke kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hodi humu....nimekuwa mshabiki wa Man Utd mfu kwa muda mrefu baada ya kuwa mbali kidogo na mchezo wa mpira...SASA NATAKA kufufua ushabiki wangu kupitia jukwaa hili.

Karibu sana mkuu jiskie uko nyumbani..... Zamu ya cute b kuleta soda mimi namuandalia chumba mgeni.
 
Last edited by a moderator:
Carrick Kwani si ana 33 ? Bastian 30 Rooney ana 29 mkuu hao mbona vijana kabisa alafu majembe
Mzee ni kama hawezi kujishughulisha kama yule Gerald wenu

Mwaka huu watajinyonga wengi, fitina zimeanza kwenye usajili tu wanatetemeeeeka!!! Na bado!!!!
 
1437141060069.jpg 1437141060069.jpg
 
Angekubali kuwa na mimi ningehamia England alafu nampa free p sitaki kijana ateseke kabisa

Hajakuona tu....hachomoki hapo....nasikia mzee wa magogoni nusura akupe uRC ila kuna mtu alitia fitina .......lol
 
Mkuu wembee

Ni timu gani ndani ya EPL iliyowahi pata mafanikio mazuri ikiwa na kikosi cha wachezaji wachanga?

Chukulia mfano wa Arsenal.
Kwa watto hapana lkn lazma uwapate vijna wa umri kuanzia miaka 25 mbka 28 lkn nyie wte mizee tupu kule mbele
 
Back
Top Bottom