Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mweeeeeee!!!! Umekosea jukwaa hapa ni OT siyo Emirates!!!

Lazma akosee mamy sio kwa kichapo kile tulichowapatiaga.
Unazani wanaanzaje kusahau?
 

Attachments

  • 1437142187347.jpg
    1437142187347.jpg
    61.2 KB · Views: 101
hahahahaha ............. we sasa ndio unaakili!'

Mkuu ENZO nashangaa man u wanajifariji wakati wamesajl magarasa ambayo yameshindwa kupata no uko yalikotoka lkn kwao man u ndio mifalme
 
Last edited by a moderator:
hahahahaaa. mkuu nipo kwenye daladala unajua, nimecheka hadi watu wakanigeukia, Carrick, na Rooney wote waingeleza pamoja na akina milner na Dan lakin mbona hatujawah waona wakianzia benchi mbele ya hao jamaa zako?

Ttzo kocha wa waingereza c mweu yule pia anachuki na liverpool
 
Na mwaka huu tutawapiga home and away
Tumechukua vijana sio mababu kma nyie man u
 
Na mwaka huu tutawapiga home and away
Tumechukua vijana sio mababu kma nyie man u

Mkuu....siku hizi ukitua OT unapigiwa samba...kabla hujastuka wanaume washatikisa wavu mara nne.
 
Hakuna chakuogopa mkuu....na kwann iwe hivyo....mapema yote ??
Imagine tukapita hiyo stage Je huko mbele utasemaje tukikutana na magiant wenzetu....???

haha just saying mkuu, mpira hauna adau. and without ucl tutapoteza spirit mapema. eway nina imani tutpita vizuri tuu, arsenal has done it for God knows how many times
 
Vikongwe fc saizi man u

Bora siye kuliko nyie looserfool na mtazimia kabisa mkisikia Otamendi in........Ings kweli?? Ngoja na Benteke In ndo mtakapofurahi na BR wenu yaani mimi nacheka tu kwa usajili aliofanya BR. Hongera kwa ushind wa leo mmeanza mwanzo mzuri sasahivi #BrendanOut zinaisha na mtatulia kimya mtakuja zinduka wakati ligi imeisha mnagombana na kina Southampton nafasi ya 8 huko!!!!
 
Bora siye kuliko nyie looserfool na mtazimia kabisa mkisikia Otamendi in........Ings kweli?? Ngoja na Benteke In ndo mtakapofurahi na BR wenu yaani mimi nacheka tu kwa usajili aliofanya BR. Hongera mmeanza mwanzo mzuri sasahivi #BrendanOut zinaisha na mtatulia kimya mtakuja zinduka wakati ligi imeisha mnagombana na kina Southampton nafasi ya 8 huko!!!!

Benteke mlimtaka mmemkosa sabb tmu yenu mbovu firmino mlimtaka kawakataa kaja kwetu .haha haha haha mwaka huu mtakmbiana
 
Hahahaaa yenu bora ipiii?
Ata nafasi ya nne mliikosa...
Hahahaaaa poyeeeee

Mumy huyu tuachane naye wameshinda huko kwenye tour yao Australia ndo maana anasumbua keshajiona bonge la superstar, tumsubiri kwenye ligi tutaheshimiana the so called vibabu vitakapomfunga ndo ataelewa somo.
 
Benteke mlimtaka mmemkosa sabb tmu yenu mbovu firmino mlimtaka kawakataa kaja kwetu .haha haha haha mwaka huu mtakmbiana

Benteke tumtake kwa lipi si bora RVP angebaki, Firmino is not our type never ............
 
Mkija kupiga porojo humu muwe na datas kidogo,sio mnaropoka tu kumbe hata magazeti hamsomi. Naamanisha magazeti yenye akili sio SANI AU KIU.

Tuangalie average age ya kila timu tuone kama man utd wanaweza kuitwa wazee,list hapo chini inaanza na timu yenye umri wa juu mpaka yenye umri wa chini

20. man city
19.crystal palace
18.qpr
17.stoke city
16.hull city
15.burnley
14.leicester city
13.west ham
12.wes brom
11.sunderland
10.chelsea
9.swansea8.everton7.aston villa6.southampton
5.arsenal
4.newcastle united
3.man utd
2.liverpool
1.tottenham

sasa man utd kaondoka RVP,32, wameingia depay 22,morgan 25,bastian 30,darmian 25 je umri wa timu utaongezeka au kupungua???!! Do the math!

http://talksport.com/football/brigh...ed-youngest-line-ups-season-150210135843?p=19
 
Mumy huyu tuachane naye wameshinda huko kwenye tour yao Australia ndo maana anasumbua keshajiona bonge la superstar, tumsubiri kwenye ligi tutaheshimiana the so called vibabu vitakapomfunga ndo ataelewa somo.

Loserfool at work.
Hahahaaaa nimeona wamebahatisha viwili ndo wakakumbuka kuja kujisifu huku kwa wabaya wao maana tunawapelekaga puta balaaaa... wembeeesasa uende subiri ligi ianze ndo uje huku kusema umeonaje viwango vya wazee wetu but now ni sawa unapaka upepo rangi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom