Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RRONDO JOAQUEM, EVERLENK, BELO, na wadau wengine hebu achaneni na huyo mpuuzi ENZO yes mpuuzi maana hana analolifanya zaidi ya kutafuta umaarufu jukwaani, mbaya zaidi nanyie mmekubali kumpa sapoti, lampard aliondoka kwao ana miaka kibao kaenda man city huyo huyo kawanyima point 3 kwa goli lake LA kusawazisha, yes man utd tumenunua kibabu so we unataka nn? mda mwingine utajiona unafurahisha jamii kumbe unachekesha, nenda jukwaani kwako kadiscuss na wenzio kwann timu yenu haina uwanja hadi leo hii sio kuja kutupigia kelele za kutaka umaarufu hapa, darmian 25, Morgan 25, de pay 22/21 hao wote hujawaona? mourren anavomsajili falcao huoni, IDIOT YES YOU ARE IDIOT,
 
hapa ni sawa unaniulliza miaka 17-19 ni sawa?? kwa namba sio sawa...ila physically most likely ni sawa. miaka 28-30 tofauti ni namba tu. ungeniambia 25 na 30 ningekwambia ni tofauti sana.

28yrs old kwa £28m na 30yrs kwa £14m ipi good deal hapo?? honestly.....

Just for the record, I too don't see the basis for ENZO's argument!

You are really good at this.....

...ain't I mate!
 
Last edited by a moderator:
Kama umri ndio kigezo vp kuhusu Terry anaweza kubattle na forward kama Kun 16 ???
Na wapi tumejitamba kuwa Bastan ndio tegemeo ??
Nafasi anayocheza Bastan kuna Morgan, Carrick, Versatile Blind mbona husemi na sisi tuna buckup???
Vp nyie sio New York city kwasababu Falcao na wengine type yake???

Falcao yeye ni chaguo namba tatu!' nyie hicho kibabu mmekanunua tegemeo!' 1st eleven ............ sasa nafas anayocheza terry unaifananisha na anayochecheza huyo injury prone. ningewaona wajanja kama mngempata pogba. msitambeee!' msimu ujao mjitahidi hat mmalize nafasi ya tatu.
 
Ficha upumbavu wako., umeshakuwa kero humu ndani mkuu. Jiongeze.
 
Tunakupuuza mkuu
 
Kama umri ndio kigezo vp kuhusu Terry anaweza kubattle na forward kama Kun 16 ???
Na wapi tumejitamba kuwa Bastan ndio tegemeo ??
Nafasi anayocheza Bastan kuna Morgan, Carrick, Versatile Blind mbona husemi na sisi tuna buckup???
Vp nyie sio New York city kwasababu Falcao na wengine type yake???

falcao yeye ni chaguo la tatu, tofauti na hicho kibabu mlichonunua eti 1st eleven, ila mjitahidi angalau next season mshike nafasi ya 3 ............
 
kubalini!' mmeuziwa kibabu!' injury prone!' ............. hahahahaha!' watu wamechukua hela sahivi wanataka kununua Vidal tena kwa hela ndogo sawa na bure!' wakat Vidal aliikataa Manure kwa dau kubwa.

Miaka 30 sio kibabu Mkuu,angekuwa mchezaji wa kiafrika ningeamini ni kibabu,kwa sababu mchezaji toka afrika akisema ana 30 yrs ujue hapo ni 37 yrs

Na ndio maana kina Scholes,Giggs,na kina Maldin wamestaafu wakiwa na umri mkubwa.Kwa mkataba wa miaka 3 waliompa ina maana utaisha akiwa na miaka 33 au 34.

Kama Scholes,Giggs,Lampard,Maldin,na wengine walitamba wakiwa na miaka 30 au zaidi,naamini huyu jamaa atasaidia.

Unakumbuka Ruud Van Nestroy alivyoondoka united alikuwa na umri gani na alipofika Madrid alifanya nini?,unajua Ibrahimovic ana umri gani na mpaka anamuweka benchi Cavan ambaye ana 29 yrs?
 
falcao yeye ni chaguo la tatu, tofauti na hicho kibabu mlichonunua eti 1st eleven, ila mjitahidi angalau next season mshike nafasi ya 3 ............
You talking as if your in charge there.......
Aliyesema Falcao atakuwa Chaguo la tatu nani???
Kwa mujibu wa Mourinho alisema hivi
"I will show you the real Falcao.." kwa kauli hii unategemea nn labda ataprove vipi hiyo kauli
1. Kwa kumuweka bench ?
2. Au kumtumia mara kwa mara kitu ambacho kinapingana na kauli yako....
 
RRONDO JOAQUEM, EVERLENK, BELO, na wadau wengine hebu achaneni na huyo mpuuzi ENZO yes mpuuzi maana hana analolifanya zaidi ya kutafuta umaarufu jukwaani, mbaya zaidi nanyie mmekubali kumpa sapoti, lampard aliondoka kwao ana miaka kibao kaenda man city huyo huyo kawanyima point 3 kwa goli lake LA kusawazisha, yes man utd tumenunua kibabu so we unataka nn? mda mwingine utajiona unafurahisha jamii kumbe unachekesha, nenda jukwaani kwako kadiscuss na wenzio kwann timu yenu haina uwanja hadi leo hii sio kuja kutupigia kelele za kutaka umaarufu hapa, darmian 25, Morgan 25, de pay 22/21 hao wote hujawaona? mourren anavomsajili falcao huoni, IDIOT YES YOU ARE IDIOT,

sasa umaarufu gani mkuu!' huku kila kitu feki, hata tukikutana hatujuani!' ............. nani anataka umaarufu kunuka!'

kuhusu swali lako!' muache kutaambaaa!' na hicho kibabu!' mmeuziwa famba.
 
1. "We're not finished yet," van Gaal
tells #MUTV on transfers. "We still
need to improve at least two
positions and we shall when
possible.["MUFC official tweeter account]
2. Man United inform West Ham
that Javier Hernandez is not for
sale good news for me
3. ABC | Real Madrid has told Ed
Woodward that the last final offer
for De Gea is €25M because he will
be free next summer.
4. Sergio Ramos is not leaving Real
Madrid for Manchester United and
is an integral part of the club's
plans, according to Rafa Benitez.
5. Roberto Martinez says there is 'no
truth' in Everton signing Jonny
Evans. He previously claimed
signing Gerard Deulofeu was 'not
realistic'
6. Schweinsteiger: I'll show the
doubters I can still dominate games
at the highest level
7. PlazaDeportiva reporting that
Nicolás Otamendi is willing to give
up a chunk of his wages to secure a
move to Manchester United.
Plaza state that Otamendi left
Valencia with absolutely no
intention of ever returning, and
that is what he told his agent as
well.
This is why it only took a
couple of days before López
dropped the news about
Otamendi wanting to leave,
Plaza report
Otamendi's main problem, however
are the €50m that Valencia are
demanding for him, Plaza state.
Both Salvo and Lay Hoon insist on
that price, Plaza report that Man United have
made it clear to Eugenio López that
they will go as high as €40m for
Otamendi.
 
sasa umaarufu gani mkuu!' huku kila kitu feki, hata tukikutana hatujuani!' ............. nani anataka umaarufu kunuka!'

kuhusu swali lako!' muache kutaambaaa!' na hicho kibabu!' mmeuziwa famba.

OK, tumekuelewa, take your time
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ficha upumbavu wako., umeshakuwa kero humu ndani mkuu. Jiongeze.

povu la nini sasa mkuu!' ............. kama mmepgwa changa la macho usiambiwe, ila msikonde atawasaidia mtashika hata nafasi ya 3.
 
falcao yeye ni chaguo la tatu, tofauti na hicho kibabu mlichonunua eti 1st eleven, ila mjitahidi angalau next season mshike nafasi ya 3 ............

John Terry nae ni chaguo la ngapi na ana miaka?
 
Back
Top Bottom