Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utakuwa uzito wa kuwa likizo labda...

Nahisi kipindi cha pili watabadilika...

huyu golikipa akomae hvo hvo anaweza akapata namba kwenye ligi, darmian he looks so good, tackling za kutosha
 
mata naona kama hayuko fiti japo ka assist

Mkuu, niko kwa sebule hapa na Azam tv chanell 404 .lakini siioni hiyo gem badala yake namuona Diego forlan tu na wajapani wake hapa, nipe maujanja jinsi gani naweza kuiona timu yetu?
 
Atakuwa hajachangamka tuu coz si walikuwa mazoezini? Sizan kama ni likizo mkuu

Mazoezi na mechi ni tofauti ndugu...

Mazoezi humfanya mchezaji asibweteke tu, lakini mechi hutegemea wapinzani walivyojiandaa...
 
huyu golikipa akomae hvo hvo anaweza akapata namba kwenye ligi, darmian he looks so good, tackling za kutosha

Kipa katuweka mjini ile dakika ya mwanzo dah!!...

Huyu mkoba naona atafaa sana EPL hata mimi nimemuona...
 
Back
Top Bottom