Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaah Asante momiee cute,

Nimetia miguu miwili na tayari nshakaa kigodani hapa full burudani, but uhali gani mkuu?

BACK TANGANYIKA

Poa poa mkuu..
Nafurahi kwa kuwa wewe ni red nimependa sana hali yangu ipo poa.
Nipo macho nangoja mtanange
 
Shukrani sana Ever,

Nshakuonaga sehemu huko na huko nikawa najipitia hivi> kumbe ni mwenzangu kitimu kasoro kimwili..!!! Momieeeeee nimemsikia Papupi akikuagiza soda plz mwambie cute b anajua kinywaji nachotumia. Nashukuru sana kupata wenyeji wakarimu kama ninyi... oooohhhh lakini sishangai hii ndo sera makini ya Red deeeeeeeeeeeviiiiiiiiiiilllllllllll...!!!

Mkuu hebu panga kikosi cha kesho hapa.

BACK TANGANYIKA

Pamoja mkuu.
One lovee
 
Last edited by a moderator:
Huyu memphis ndio Depay mkuu? Na de gea haingii?

yah, Memphis ndio depay alisema atakua anatumia Memphis badala ya de pay maana alizinguana na baba yake, de gea nahisi ataingia cha pili maana alisema watacheza dk 45
 
Memphis ndo depay.. then DDG, bastian n others wataingia baadae sababu tunaruhusiwa kubadili timu nzima

Ahaaa so kumbe kuna vikosi viwili...
mkuu naona uvivu kwenda sitting room vip una link ya live nitumir nichek hapa hapa.
 
yah, Memphis ndio depay alisema atakua anatumia Memphis badala ya de pay maana alizinguana na baba yake, de gea nahisi ataingia cha pili maana alisema watacheza dk 45

Sawa mkuu daah mimi nimezoea depay bhana ila hamna namna.
Na wew nakutegemea cha pili ama nene. Nasikia na wew ni kipa ningependa pia kukuona.
 
Sawa mkuu daah mimi nimezoea depay bhana ila hamna namna.
Na wew nakutegemea cha pili ama nene. Nasikia na wew ni kipa ningependa pia kukuona.

hahahahaaa, mi in mult talented, niliwadakia mazoezini baada ya kuona wananizarau na ka mwili kangu haka
 
Let's hope for a good, exciting game.. no
injuries.. no dirty fouls...
 
Hapo zamani za kale kulitokea timu inaitwa Manchester united ikinolewa na mzee mmoja anaitwa Sir Alex
 
Back
Top Bottom