Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

haya mkuu naona sasa hivi wewe ndio unapanga wapi niingie na wapi nisiingie ............ hivi mwenye forum ni shemeji yako?!

Karibu ndg usikimbie jukwaa letu ni pendwa na limejaa wadau 24/7.
Ukarimu ndo kauli mbiu yetu.
 
Madrid wameshakata tamaa ya kumchukua msimu huu Ed kawawekea ngumu, Jana wametoa taarifa kwa mujibu wa MARCA kwamba asisaini mkataba mpya watakuja kumchukua free msimu ikiisha na kumzawadia €5 mill

Naamini tukibeba kombe msimu huu na tukatia kazi nzuri CL De gea atabaki tu.
 
Madrid wameshakata tamaa ya kumchukua msimu huu Ed kawawekea ngumu, Jana wametoa taarifa kwa mujibu wa MARCA kwamba asisaini mkataba mpya watakuja kumchukua free msimu ikiisha na kumzawadia €5 mill

Kumbee...
Alafu saivi tuna wachezaji wengi 32 tusipochukua ubingwa lol kuna mkono wa mtu
 
Kwa niaba ya MAN U fan witw tunakubaliana na ww kuwa tumesajili kibabu
Oky now its oveeeeeer.....

Na kwa niaba yao pia pokea pole nyingi kw kupigwa changa la macho kwa kuuziwa kibabu!' ............
 
kikubwa tufanye poa maana ukiangalia hela aliyo ahidiwa na. Madrid ni ndogo kuliko atakayopata akisaini mkataba mpya

Unafikiri hapapendi OT? Basi tu P ndo inampeleka RM wala hamna lolote, chezea mautamu weye!!!!....... cute bplizzzzzz msaidie kaka DDG asimkumbuke yule GF wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom