JOAQUEM
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 2,020
- 1,673
Katika hizo mechi unazozita worst kwa msimu huu wa LVG. Je vp kuhusu ile hali ilivyokuwa kipindi cha DM??....Nikisoma comment zako juu ya LVG napata kuelewa yakuwa ulitaka/unataka LVG asaidie timu faster ilirudi kile kipindi cha Glory enzi za SAF kitu ambacho ni ngumu sana mkuu....Binafsi mi simkubali kabisa van gaal, last year tumespend alot only to finish fourth( thanks to Liverpool for being in such a bad form), msimu huu tumepata points kimazabezabe sana
draw against w.bromich (2-2) blind goal 87'
draw against chelsea (1-1) van persie 90+4'
southampton tuliwafunga 2-1 but mtakubaliana na mimi its one of our worst matches
draw against west ham (1-1) blind 90+2'
win against newcastle (1-0) young 89'
alianza na mfumo wa 3-5-2 haukufanya kazi, he kept on forcing it making us loose points in the process
first five matches
loose against swansea 2-1
draw against sunderland 1-1
draw against burnley 0-0
win against QPR 4-0
loose against leicester 5-3
mashabiki wakapigia kelele sana huu mfumo, wakaanza kuimba 442 on the stands. van gaal got some senses akabadilisha. he is based on possession football, but man utd was built based on attacking football. ikifika mahali washabiki wanaimba ATTACK ATTACK ATTACK, you keep wondering who is the coach here??? Premier wanacheza nasty football only to get results chelsea, stoke city to mention a few, possession football doesnt work here amuulize arsene wenger atamwambia... we had 71% ball possession only to loose against chelsea.
binafsi mimi napoteza matumaini na van gaal, with the current squad i can see alot of managers doing better than him.
hayo ni mawazo yangu nikiwa kama supporter wa man utd. nakaribisha mwawzo yenu wadau.
and by the way, can someone explain to me van gaal's philosophy maana iv heard that word every single interview he had mpaka leo sijaelewa!!!
Hukutakiwa kuwashukuru Liverpool kuwa vibaya ilihali pia wajua majanga yaliyotukuta mpaka wao kushika nafasi waliyoshika