Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Kwa huu usajili tutawika hata kwa mbinde!!

Mtaimprove kwa point 2 plus. Hakuna lolote jipya hao wachezaji watachemka kama kina Di Maria, Blind, Rojo walivyochemsha msimu uliopita.
where is valdes?
Uzuri ni kwamba dua la rubaman halijawahi kuipata MANU....
Hizi kelele za kijiweni zitakwisha Oktoba kama sio mapema zaidi Septemba. Wewe(everlenk) na kina Herrera na wengine mtapoteana humu. Hizo £75Milion plus mlizotumia hadi sasa mtaanza kuzijutia. Bookmark hii post.

Team lowasa sasa hivi mna hasira kwel kwel mkiguswa kidogo tu mipovu inawatoka haswa.. ebu punguza kwanza mihemko alafu urudi tena
Hivi Blind kumbe alichemka yaani alikuwa flop na Rojo pia...????Mtaimprove kwa point 2 plus. Hakuna lolote jipya hao wachezaji watachemka kama kina Di Maria, Blind, Rojo walivyochemsha msimu uliopita.
Habari yenu wakuu......napitaga sana humu ingawa sijawahi kuchangia..
..Naomba mnikaribishe katika familia hii coz me n shabik mkubwa sana wa hii timu....na ni timu ninayoipenda duniani..
Hodi jaman....
Hizi kelele za kijiweni zitakwisha Oktoba kama sio mapema zaidi Septemba. Wewe(everlenk) na kina Herrera na wengine mtapoteana humu. Hizo £75Milion plus mlizotumia hadi sasa mtaanza kuzijutia. Bookmark hii post.
tuwekeze nguvu kwenye kupata CB mzuri. otamendi atafaa, ila striker sidhani kama tutapata world class,, he would be under rooney's shadow anyway
Mtaimprove kwa point 2 plus. Hakuna lolote jipya hao wachezaji watachemka kama kina Di Maria, Blind, Rojo walivyochemsha msimu uliopita.
Chevy 1 season: £53m
Adidas 1 season: £75m
Total: £128m
We've spent so far
Depay: £31m
Darmain: £13m
Schweinsteiger £15m
Scheniderlin £25m
Total: £84m
Summary: We're rich!