Huyu Gaitan mimi simuelewi uwezo wake mpaka kuwe na hizi tetesi za kum-replace Di maria.
Mnaofahamu uwezo wake mniaminishe kuwa anaweza kuwa super replacement ya Di Maria
Hlo ndio tatizo lenu mnapenda kuchukua makombe hku mnacheza karate uwanjan badala ya mpira, raha ya mpira ni ushindi plus mchezo mzur, ila hyo special one anapendwa zaid na mashabik wa Chelsea coz wana uhaba wa makombe ya lig kuu, ngoja wakiwanayo meng kama man u utaona kama hawajamtimua na kutaka kucheza mpira unaovutia
Special one hajafundisha Chelsea peke yake tumpime akifundisha Porto na inter mpira ulikuwa karate au wakuvutia ?
Hlo ndio tatizo lenu mnapenda kuchukua makombe hku mnacheza karate uwanjan badala ya mpira, raha ya mpira ni ushindi plus mchezo mzur, ila hyo special one anapendwa zaid na mashabik wa Chelsea coz wana uhaba wa makombe ya lig kuu, ngoja wakiwanayo meng kama man u utaona kama hawajamtimua na kutaka kucheza mpira unaovutia
acha kujamba kitu haitoki!!' umeulizwa ulinganishe umri wa special one na makombe aliokua nayo na makombe ya Van Gay!' ............. mpira ushindi!' acha kuropoka!; ingekua hamuitaji ushindi msingemtimua The choosen one. kwanza Manure mnacheza mpira gani wa kuvutia nyie?! ndio mnavyodanganyana huko kijijini kwenu kuwa Manure inacheza mpira mzuri.
schneiderlin ndani GGMU
![]()
Jamani naomba kujulishwa.
Azam TV wameongeza Man Utd TV kwenye list yao ya channels.
Je nitaweza kuona mechi zote za Man Utd za EPL, UEFA na FA?
Wazoefu na TV hii.
kwa kawaida manutdtv wanaonyesha premier league matches za man utd baada ya live games kuisha. under 21 wanaonyesha LIVE.