Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Pasuka kabisa kwa hii...View attachment 267845
Tumebakisha CB na Striker tufunge msimu.
Pasuka kabisa kwa hii...View attachment 267845
Hizi kelele za kijiweni zitakwisha Oktoba kama sio mapema zaidi Septemba. Wewe(everlenk) na kina Herrera na wengine mtapoteana humu. Hizo £75Milion plus mlizotumia hadi sasa mtaanza kuzijutia. Bookmark hii post.
Nasikia Wenger ye kisha funga dirisha LA usajili kwake,

Wenger anaweka mambo sawa kuja shopping Old Trafford. Muda si mrefu Arsenal tutakuwa Bayern Munich wa PL tunanunua wachezaji toka kwa rivals wetu kuuwa competitions.
Habari yenu wakuu......napitaga sana humu ingawa sijawahi kuchangia..
..Naomba mnikaribishe katika familia hii coz me n shabik mkubwa sana wa hii timu....na ni timu ninayoipenda duniani..
Hodi jaman....
Wenger anaweka mambo sawa kuja shopping Old Trafford. Muda si mrefu Arsenal tutakuwa Bayern Munich wa PL tunanunua wachezaji toka kwa rivals wetu kuuwa competitions.
Wenger anaweka mambo sawa kuja shopping Old Trafford. Muda si mrefu Arsenal tutakuwa Bayern Munich wa PL tunanunua wachezaji toka kwa rivals wetu kuuwa competitions.
Paulo Sergio De Souz yupo mtaani kwao kule Spain huku huwa haji ni mtoto wa get Kali.
Tunamtaka Smalling awe replacement wa Per misimu 2 ijayoJohn Evans tutawapa bure kabisa. Na nyongeza mtapewa.