youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Kazi IPO msimu huu ila waliokuwa wakimzarau huyu msimamizi wa usajili wa Man mjue watu wapo kimpango zaidi hawakurupuki
sasa bado CB....!
Yale yale ya mwaka jana ya "heshima itarudi ". By October mtakuwa mnatafutana kupeana moyo lol. Hadi sasa mmeshamwaga £££ ngapi vile?
View attachment 267788 vijana wakiondoka kuelekea kwenye pre-season
️I agree....Luis Nani is best than Gaitanmkuu gaitan asikupe taabu, ni mwaka wa 4 kama sio 5 tunakua linked nae, huu mchezo wakala wake ndiye anaeucheza kumtafutia soko LA kuja utd, ni kama gourcuff na arsenal enzi hzo, back to your guestion nimewahi muona mechi kama tatu japokua yalikua marudio ni wakawaida sana, winger ya kulia, Mara kumi kuwa na Luis nani kuliko huyu, (mawazo yangu)
4-2-3-1How will Bastian fits in??
3-5-2
![]()
4-1-4-1
![]()
4-3-3
![]()
Kazi ipo mwaka huu..........
Yale yale ya mwaka jana ya "heshima itarudi ". By October mtakuwa mnatafutana kupeana moyo lol. Hadi sasa mmeshamwaga £££ ngapi vile?