Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1436807264279.jpg
    1436807264279.jpg
    9.7 KB · Views: 159
Giggs: Sikiliza Bastian hakikisha zile 7 mlizompiga Brazil tukijumlisha na zile 8 tulizompiga yule mzee, safari hii tukikutana nao tuwapige 15.. 😀😂😂

Hahahahaha!!! Tumependeza hata Kabla ya shughuli......tukitupia je? tutapendeza Hamna mfanoe!!!.......upo best yangu Papupi mekumiss mbayaaa.....karibu home hapa ndo nyumbani kwenu....lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hahahahaha!!! Tumependeza hata Kabla ya shughuli......tukitupia je? tutapendeza Hamna mfanoe!!!.......upo best yangu Papupi mekumiss mbayaaa.....karibu home hapa ndo nyumbani kwenu....lol

Nishakaribia aiseeh, sasa hivi tuko zetu kwa mzee Obama tukijiandaa na next season.... Paulo de souza umemficha wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nimeshindwa kupita kimya....

Hahahaha!!! Na huwezi kukaa maana hapa pa moto...umeona mashine hizo .....tuma salaam kwa the so called special one na rent boys wote waambie wakae mkao wa Kuliwa....lol
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Habari yenu wakuu......napitaga sana humu ingawa sijawahi kuchangia..
..Naomba mnikaribishe katika familia hii coz me n shabik mkubwa sana wa hii timu....na ni timu ninayoipenda duniani..
Hodi jaman....
 
Karibu sana dwoxye Jiskie uko nyumbani.....kikubwa uwe ni shabiki wa ukweli...hapa tupo familia kubwa sana tunapendana na tunajaliana kama MANU Family.....Ngoja tukupatie kahawa.... cute b fanya fasta umuandalie mgeni kahawa na umpatie room nzuri apumzike.
 
Last edited by a moderator:
Ila laana ya machozi ya casillas itawatafuna, legend kama iker hawezi kuondoka vile Madrid kama mtoto yatima yaani hata kumuaga? Smh

Sema na wewe miaka 26 kweli anaagwa vile?? Ngoja nivae buti langu na jeans nikawachokoze kule mtaani kwao nikizidiwa nitakuita Nisaidie....lol
 
Karibu sana dwoxye Jiskie uko nyumbani.....kikubwa uwe ni shabiki wa ukweli...hapa tupo familia kubwa sana tunapendana na tunajaliana kama MANU Family.....Ngoja tukupatie kahawa.... cute b fanya fasta umuandalie mgeni kahawa na umpatie room nzuri apumzike.

woooow.....asante sana kumbe hata cute b ni wa huku.....ni mtani wang huyu kule upande wa pili....Asante sana JF sport lady

#GGMU
#MUFC
 
Last edited by a moderator:
Usajili huu ni uliokwenda shule, unangalia timu nini inahitaji, kati azunguke Bastian, Carrick, Herrera kutakuwa na usalama kweli hapo?

Kuhusu £££ ngapi zimetumika , sisi sio City waliomnunua "Mjamaica" kwa £50 M .....Liverpool wameokota embe dodo kwa kweli

Sterling amevimba kichwa mapema kabla hajafanya la kuonekana. Anapokwenda sijui kama atapata muda wa kucheza kama alivyokuwa anapata Liverpool. Kitu kingine nachoona ule mwaka aliocheza na Suarez na Sturridge ndio ulikuwa wa mafanikio kwake kuliko msimu uliopita. Liverpool sidhani kama watammiss sana huyu dogo kama wanavyommiss Suarez na Sturridge. Muda utathibitisha kama Liverpool wamepata pesa za ubwete.

As far as signings zenu zinaweza kuimprove mlipoachia msimu uliopita lakini bado ni kitandawili.
 
Nachokupendea huwa unaukubali ukweli .....Asante kwa kulitambua hilo si kuimprove Bali kubeba ndoo usijiskie vibaya kukiri hilo....umesahau msimu ulioisha ulisema tutamaliza wa Saba kama si wa 10,na ubovu ule tumemaliza namba nne tukiwa wazima je!??!!
 
Yale yale ya mwaka jana ya "heshima itarudi ". By October mtakuwa mnatafutana kupeana moyo lol. Hadi sasa mmeshamwaga £££ ngapi vile?

Chevy 1 season: £53m
Adidas 1 season: £75m
Total: £128m
We've spent so far
Depay: £31m
Darmain: £13m
Schweinsteiger £15m
Scheniderlin £25m
Total: £84m
Summary: We're rich!
 
Nachokupendea huwa unaukubali ukweli .....Asante kwa kulitambua hilo si kuimprove Bali kubeba ndoo usijiskie vibaya kukiri hilo....umesahau msimu ulioisha ulisema tutamaliza wa Saba kama si wa 10,na ubovu ule tumemaliza namba nne tukiwa wazima je!??!!

Mtaimprove kwa point 2 plus. Hakuna lolote jipya hao wachezaji watachemka kama kina Di Maria, Blind, Rojo walivyochemsha msimu uliopita.
 
Back
Top Bottom