Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
How will Bastian fits in??
3-5-2
![]()
4-1-4-1
![]()
4-3-3
![]()
Kazi ipo mwaka huu..........
Mkuu tafuta pa kumuweka Morgan Schneiderlin
How will Bastian fits in??
3-5-2
![]()
4-1-4-1
![]()
4-3-3
![]()
Kazi ipo mwaka huu..........
Mkuu tafuta pa kumuweka Morgan Schneiderlin
MUTV offers Manchester United fans exclusive interviews with players and staff, full matches, including all Premier League games (broadcast generally at midnight of the day the match was played), live reserve and academy games and "classic" matches plus footballing news and other themed programming. The station also broadcasts all of the team's pre-season friendly matchesJamani naomba kujulishwa.
Azam TV wameongeza Man Utd TV kwenye list yao ya channels.
Je nitaweza kuona mechi zote za Man Utd za EPL, UEFA na FA?
Wazoefu na TV hii.
kwenye 3-5-2 anachukua nafasi ya carrick
kwenye 4-1-4-1 anachukua nafasi ya carrick
kwenye 4-3-3 anachukua nafasi ya fellaini
Nimeipenda hiyo 4-3-3 na 4-1-4-1
sasa bado CB....!
Na striker mkuu, msimu ujao hakika furaha itarudi nyumbani kwake
Naona mna hopes za Mvua za Sahara.Ligi ikianza mtakuwa kama Liverpool .Arsenal mpooooooo.......4rvr Mufc
Yale yale ya mwaka jana ya "heshima itarudi ". By October mtakuwa mnatafutana kupeana moyo lol. Hadi sasa mmeshamwaga £££ ngapi vile?