Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nikirud kwa yule m2 anayemcompare LVG na DM, cjui anatumia fact gan bt LVG ni best manager in the world coz anaipa timu ushindi na kucheza mpira wa burudan, kamwe hauwez mfananisha na kina mourinho na yatakuwa ni matuc makubwa sana kwake
 
Yani hivi sasa man yuu wanakeraaa wachezaji wazee wanini?? Mtu anamiaka 30 keshaishaa utamuu ndio analetwaa aaaaghrrrr wanakeraaa..
 
Mkuu achana nae, yule atakua na chuki binafsi tu na van gaal, embu tuangalie mbele chama letu linakoenda.
#GGMU
 
Yani hivi sasa man yuu wanakeraaa wachezaji wazee wanini?? Mtu anamiaka 30 keshaishaa utamuu ndio analetwaa aaaaghrrrr wanakeraaa..

Unamfahamu Alonso? Alivokua anaenda bayern alikua na umri gani? Lampard je una mjua? Katoka Chelsea ana umri gani kaenda man city kwa mkopo, falcao ushawahi msikia? Ana 29 lakini utamuona kwenye jezi za blue chini ya moronho
 
Nawafaham..sera za man u, zilikuwaga ni kusajil vijana..ila now days kusajili aged kidogo sio vema,
 
Rafael's agent, Cassiano Pereira,
has confirmed to Record that Man
United and Benfica are negotiating
over Nico Gaitán.
~ : "Benfica
and Man United are in
negotiations over Gaitán and
one offer includes Rafael to
join Benfica."
~ C. Pereira: "Rafael wants to join
Benfica. It's a big European club. If
the talks proceed, it won't be
difficult to reach an agreement."
 
Nikirud kwa yule m2 anayemcompare LVG na DM, cjui anatumia fact gan bt LVG ni best manager in the world coz anaipa timu ushindi na kucheza mpira wa burudan, kamwe hauwez mfananisha na kina mourinho na yatakuwa ni matuc makubwa sana kwake

Tatizo bado tuko na watia nia wa ccm tukimaliza tutakuuliza umri na vikombe alivyo chukua lvg kulinganisha na umri na vikombe vya Special One period
 
Nawafaham..sera za man u, zilikuwaga ni kusajil vijana..ila now days kusajili aged kidogo sio vema,

Umri wa waliosajiliwa tangu SAF aondoke
2014/2014

Juan Mata-27
Maruane Fellaini-27

2014/2015
Luke Shaw-20
Ander Herrera-26
Daley Blind-25
Marcos Rojo-25
Angel Di Maria-27
Victor Valdes-33

2015/2016

Memphis Depay-21
Matteo Darmian-25
Bastian Sweisteiger-30
 
Shweinstiger is one year older than Rooney, and 6 months older than ronaldo, but arsenal fans make you think is older than Wenger

Hahahaaa...!! Daah maneno kuntu sana haya. Yote ni sababu hali halisi Inawatisha na kuwauma ndani kwa ndani wakifikiria vile mambo yanakuja kuwa.
Kwangu naona hata siku haziendi nianze kuitazama hata hii preseason tuu.

️
 
Tatizo bado tuko na watia nia wa ccm tukimaliza tutakuuliza umri na vikombe alivyo chukua lvg kulinganisha na umri na vikombe vya Special One period

Hlo ndio tatizo lenu mnapenda kuchukua makombe hku mnacheza karate uwanjan badala ya mpira, raha ya mpira ni ushindi plus mchezo mzur, ila hyo special one anapendwa zaid na mashabik wa Chelsea coz wana uhaba wa makombe ya lig kuu, ngoja wakiwanayo meng kama man u utaona kama hawajamtimua na kutaka kucheza mpira unaovutia
 
everlenk RRONDO jiandaeni kisaikolojia sababu MAJOGOO ya Melwood YANAKUJA kukupiga home and away!Kila mtu anajua sasa jinsi mnavyo yaogopa MAJOGOO hasa baada ya kuwasili kwa Milner na Ings
 
Last edited by a moderator:
everlenk RRONDO jiandaeni kisaikolojia sababu MAJOGOO ya Melwood YANAKUJA kukupiga home and away!Kila mtu anajua sasa jinsi mnavyo yaogopa MAJOGOO hasa baada ya kuwasili kwa Milner na Ings

Hahahahaha!!! Nilikumiss sana kaka yangu mwee!! Milner,Ings, Flamino ndo wa kututisha sisi??? Subirini kichapo cha chap chap tarehe ishirini na ngapi vile Ngoja niicheki time table.....vipi sasa hivi sera yenu ni Rogers OUT au IN? Ile Jezi uliyoificha yako na ya aunt yangu umeanza kuzivaa au bado ziko kabatini?
 
BR tutamfukuza lkn Majogoo yanatisha sana na najua mnayaogopa mno sasa
 
BR tutamfukuza lkn Majogoo yanatisha sana na najua mnayaogopa mno sasa

Msimu huu sina hasira na wewe najua wewe wangu tu nitakuchapa kisasi chote ni kwa rubaman na Ntuzu hawa ndo nina hasira nao kweli kweli yaani lazima tuheshimiane,halafu kuna do go Mmoja anaitwa Everton huyu lazima nae nimfundishe awe na adabu kwa wakubwa zake.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Gaitan mimi simuelewi uwezo wake mpaka kuwe na hizi tetesi za kum-replace Di maria.

Mnaofahamu uwezo wake mniaminishe kuwa anaweza kuwa super replacement ya Di Maria
 
Back
Top Bottom