Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1436641923099.jpg
    1436641923099.jpg
    51 KB · Views: 164
  • 1436641940584.jpg
    1436641940584.jpg
    77.6 KB · Views: 150
  • 1436641958392.jpg
    1436641958392.jpg
    38.8 KB · Views: 143
kwahiyo wachezaji watakuja Man utd kwasababu ya LVG?kwangu mimi wachezaji watakuja Man utd kwasababu ya ukubwa na mafanikio ya klabu ya Man utd pamoja na malipo mazuri.

Umeandika vema.....Ila kocha anamchango wake pia kutokana na falsafa zake za ufundishaji...ili kuweza kumvutia mchezaji kujiunga na timu hiyo.....Anyway mimi sikulazimishi umkubali LVG.....Atleast nimeanza kuona kitu kwa timu yangu pendwa ukilinganisha na msimu wa juzi...
 
This is apparently the booking form for van persie's private jet leaving Manchester for Istanbul today
 

Attachments

  • 1436687751670.jpg
    1436687751670.jpg
    37 KB · Views: 165
Ni vema sana kumpata Bastian Schweinsteiger ila pia ni muhimu kumsajili Morgan Schneiderlin kwani kiumri ni mdogo na atatufaa kwa muda mrefu zaidi. Bastian ni short term replacement ya Carrick lakini tukimpata pia Morgan atakuwa ni long term replaement ya wote Bastian na Carrick
 
Wanaomponda LVG watulie wataelewa2 mcmu ukianza

Msimu uliopita ulikuwa ni msimu mgumu sana kwa kocha ikumbukwe tayari timu ilishapoteza fear factor hivyo kila timu hata timu ndogo zilishakua hazina hofu ya kukutana na Utd na kufanya mechi zote kuwa mechi ngumu
 
Msimu uliopita ulikuwa ni msimu mgumu sana kwa kocha ikumbukwe tayari timu ilishapoteza fear factor hivyo kila timu hata timu ndogo zilishakua hazina hofu ya kukutana na Utd na kufanya mechi zote kuwa mechi ngumu

Umenena vyema Mkuu, na kocha alikuwa hana hata kikosi cha kwanza kila cku alikuwa anabadilisha wachezaj kweny kikosi sasa watulie waone sasa hvi
 
Back
Top Bottom