rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
sishangai maana ni wale wale wa wenger out
Muda si mrefu mziki utabadilika kuwa LVG out with your Blind, Depay and Di Maria
sishangai maana ni wale wale wa wenger out
who is old?
Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.
Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.
Bastian Schwaini 30yrs, 5months 20 days old by February atakuwa 31yrs lol
Petr Cech ni kipa umri wake haujalishi sana ndio maana sijawacheka mlivyomsaini Valdes, isitoshe Van Der Sar alihamia United akiwa 34yrs.
hvi kipa sio mchezaji? flamini alivorudi tena Emirates alikua na umri gani vile?
Hahaha kimeanza kunuka humu kabla ligi haijaanza
#msagasumu ushafika!!! Wee kama msimu uliopita tulivuka salama basi Hamna shida tena,msimu uliopita ndo ulikuwa mzito zaidi sasahivi ni kufuta futa vumbi tu sote tuwe sawa.
Mamy mambo?
Nimerudi leo nimetua saa 11 hahahaaaaa...
Oooh!!!afadhali naona umekuja mpya kabisaaa, mi naomba zawadi tu ulizoleta....lol
huyo Nakapanya sio shabiki ashangilie timu nyingine sio lazima man united. msimu ndo mtaona mafanikioa ya man united
Hakuna kitu huwa kinaniboa kama mtu kukimbilia maneno ya "huyo si mshabiki", toa hoja,mshabiki ana sifa gan?
shabiki anavumilia mengi.
Hakuna kitu huwa kinaniboa kama mtu kukimbilia maneno ya "huyo si mshabiki", toa hoja,mshabiki ana sifa gan?
shabiki anavumilia mengi.
Mkuu mambo?