Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Now its official
 
Attachments

  • 1436619958265.jpg
    1436619958265.jpg
    42.4 KB · Views: 118
Nahamia #TeamNakapanya . Huyu jamaa anajua mpira kuliko 100,000% ya Washabiki wa Manchester United humus hahaha.

Kama kawaida yako naona upo na vijana wako lol

Naona huzungumzii hii story : Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Bayern Munich to sign midfielder Bastian Schweinsteiger, subject to a medical and personal terms.

Sasa tunakwenda kuchukua Striker.... Utd mpaka raha
 
wataelewa tu, Morgan nae kaondolewa kwenye list ya soton itakayocheza pre season kuanzia Leo na Valencia baada ya utd kupeleka ofa nyingne
 
wataelewa tu, Morgan nae kaondolewa kwenye list ya soton itakayocheza pre season kuanzia Leo na Valencia baada ya utd kupeleka ofa nyingne

Ohh hii nilikuwa sijaipata... tukimpata naye huyo kwenye kiungo tutakuwa tumemaliza kazi ... maana msimu huu wajina wako {Herrera} nina matumaini atatawala sana pale kati

Sasa tukamchukue yule mshambuliaji {tunayemtaka} ili Champions League tuje kuheshimiana vizuri
 
Kwa maana hiyo unampendekeza DM kuliko LVG kwasababu yakuwa na draft nzuri ya wachezaji aliokuwa anataka kuwasajili??
Unadhani kinachomvutia mchezaji kusajiliwa ni kipi??

kwahiyo wachezaji watakuja Man utd kwasababu ya LVG?kwangu mimi wachezaji watakuja Man utd kwasababu ya ukubwa na mafanikio ya klabu ya Man utd pamoja na malipo mazuri.
 
Wazee tulionao ni Carrick,Valdes tu RVP anauzwa haya Metersecker,Cech,Flamini,Rosisky,Arteta,Carzola
Tofauti tuliwanunua wakiwa damu mbichi sio kama Bastian. Btw kwa nini mmemtosa RVP then mkanunua mdogo wake lol? Nyie jamaa hamna uvumilivu wala nini,mfano kina Nakapanya wameshachoka.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yako naona upo na vijana wako lol

Naona huzungumzii hii story : Manchester United is delighted to announce it has reached agreement with Bayern Munich to sign midfielder Bastian Schweinsteiger, subject to a medical and personal terms.

Sasa tunakwenda kuchukua Striker.... Utd mpaka raha
Lvg atawaletea Kluivert Mzee mwingine
 
Moyes aliwataka Kroos,Herrera,Bale,Fabregas,Alcantara lakini wote walimkataa but Fellaini alimpata kiulaini but angalia Pep alivyowapata Thiago,Alonso,Reina,Benatia au Jose alivyowapata Costa,Cesc,Zouma

Tatizo tumeshabikia hii timu most of time iko on top sababu ya SAF

Kroos alishaonyesha kuipenda Madrid hivyo hata angekuwa lvg tusingempata,hao wachezaji wengine mimi binafsi nadhani ni uzembe wa boss Ward kama ambavyo uzembe huohuo utatugharimu msimu huu.
 
Doh! Yaani hao unawaweka levo moja na LvG??? Kwa yapi waliyoyafanya zaidi yake? Kwani wewe kocha mzuri unampimaje?

hutawaweka kwenye Levo moja tu kwasababu LvG ni mkongwe na ana mataji kadhaa,lakini ukiangalia kwa miaka ya karibuni,je Hao niliowataja hawawezi kupiga kazi Man utd?je si lika moja na kina Mourinho?uwezo wa hao makocha ni mkubwa kuliko hata LVG.
 
Back
Top Bottom