Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Stage is set for LvG and Memphis
 

Attachments

  • 1436536809524.jpg
    1436536809524.jpg
    49.9 KB · Views: 143
De pay ; I want to let my feet speak
 

Attachments

  • 1436537930126.jpg
    1436537930126.jpg
    36.1 KB · Views: 128
  • 1436537947484.jpg
    1436537947484.jpg
    52.8 KB · Views: 131
In this very press conference, Louis said:
"'We cannot speak about our transfers,
our strategies, because then our
opponents will take advantage."
 
LvG on strikers problem: that's why we brought memphis
 

Attachments

  • 1436539175945.jpg
    1436539175945.jpg
    60 KB · Views: 124
  • 1436539193526.jpg
    1436539193526.jpg
    64.3 KB · Views: 117
  • 1436539210883.jpg
    1436539210883.jpg
    33.1 KB · Views: 117
Kama RVP ataondoka lazima United watanunua striker challengeni kupata striker wa uhakika pia still tunahitaji kuongeza idadi ya magoli kutoka kwa viungo na mabeki wakitumika vizuri (Mata-10,Blind-3,Herrera 8,Depay-6,Young-5,Di Maria-10) hizo ni estimation tu so hawa viuongo wanaweza kufunga magoli zaidi ya 40.

Mkuu hayo magoli 40(estimation) toka kwa Midfielders nadhani ni ku-overstretch hata hivyo hakuna kisichowezekana. Kitu kingine kuwa na hao wachezaji wote msimu mzima(bila suspensions na injuries) ni vigumu. Naomba unikumbushe midfielders wangapi(toka top 6 teams) waliofunga jumla ya magoli 40 misimu 3 iliyopita.
 
Kipimo cha mafanikio kwako ni kipi? Kuna ambao watakuambia ni idadi ya makombe, wengine watakuambia ni kumaintain profit iliyokuwa inatengenezwa na Man Utd.

Una sababu gani nzito zinazokufanya usimuamini LVG? Ukisema Man Utd haitakaa ifanikiwe chini ya LVG ukimaanisha nini hasa?

kwetu sisi mashabiki mafanikio ya klabu ni kutwaa mataji,hayo masuala ya fedha sijui kitu sisi hayatuhusu.Kuhusu kutofanikiwa na LVH namaanisha hatutatwaa mataji chini ya LVG.
 
Mkuu hayo magoli 40(estimation) toka kwa Midfielders nadhani ni ku-overstretch hata hivyo hakuna kisichowezekana. Kitu kingine kuwa na hao wachezaji wote msimu mzima(bila suspensions na injuries) ni vigumu. Naomba unikumbushe midfielders wangapi(toka top 6 teams) waliofunga jumla ya magoli 40 misimu 3 iliyopita.

Its possible na i hope ManCity walivyochukua ubingwa 2012-2013 (Toure,Silva,Nasri,Navas,Fernandinho)

Kwenye EPL msimu uliopita,viungo wa Man United magoli waliyofunga

Mata-9
Herera-6
Fellain-6
Di Maria-3
Carick-1
Blind-2
Young-2
Jumla 29
Ukiangalia hapo still Hererra,Mata na Di Maria wanaweza kufunga magoli zaidi
 
calibre ya Diego Simeon,Jurgen Klop,Antonio Konte etc but not LVG...never...

Mkuu mi ninachojua van gaal pale kaja kwa sababu kuu mbili, moja ni kazi yake ya ukocha as ussual pili ni kwajili ya kumpa uzoefu na maarifa giggs soon baada ya van gaal kuondoka giggs ndie atachukua nafasi, kama tujuavo giggs bado ni mchanga kiukocha, ilikua ni vigumu kuwapa nafasi watu kama Simeon ambao 98 tulikua tunawaona kombe LA dunia na jezi za Argentine eti Leo aje kumpa maujanja giggs kwa club kubwa kama Manchester, kitendo cha kumlemta van gaal kwa sasa sioni kama ni Shida kiivo, ni kocha mzoefu na mwenye mafanikio karibu kila timu anayofundisha,
Unafikiri kwa nn wasingemleta mou baada ya moyes kuvurunda wakati dream za mou ilikua ni kuja kufundisha Manchester siku moja? Sio kwamba hawakujua kuwa huyu mzee ana maamuzi ya aina Yake, but walijua kuwa utu uzima dawa, hebu angalia hata wakati wa mechi jinsi anavokua bize akimuelekeza giggs,
But all in all what we need is trophy and van gaal is the right person for that as long as we are Manchester united
#GGMU
 
Back
Top Bottom