Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 647
Dah!!! Umeongea kitu cha maana sana ila kivitendo kinaumiza binafsi nilipendelea sana tuzionjepo point za sabini na..tusiwe tumepishana sana na wapinzani wetu,mwe maskini Steve Bruce yupo danger zone sijui kama atapita....
Ila kwa kweli kumaliza na points 72 nayo imekaa vizuri. ..