Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Khedira hatufai kwa sasa tangu alivyoumia amekuwa spana mkononi,Evra aliongezewa mkataba lakini yeye mwenyewe aliamua kuondoka,alitaka kupata new challenge.Wachezaji waliondoka msimu uliopita (Vidic,Rio,Kagawa,Flecher,Butner,Chicharito,Wellbeck,Evra) Evra ndio amefanya vizuri kwenye klabu aliyoenda hao wengine wote wamechemka
Okay hakuna mbaya! Mimi sasa naona ziiiiiiiiiiiiiiiiiiii:what::sly:
Nalala mie! Usiku mwema wajameni?
Mlale unono muote msimu ujao mmechukua EPL na uefa! Mawiiiiiiii Nzi si atatuuwa na kelele zake kha!
Last edited by a moderator: