mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
nahisi nitapata presha
gazeti moja limedai mat ameikataa utd yaam nilijiskia vibaya sana
gazeti moja limedai mat ameikataa utd yaam nilijiskia vibaya sana
nahisi nitapata presha
gazeti moja limedai mat ameikataa utd yaam nilijiskia vibaya sana
Nimekumiss bimkubwa
Nimekumiss pia, uko poa?
Nipo poa. Umepotea kijiweni
dah, kumbe leo ijumaa?? nilisahau kabisaaa kuangalia press conf. ya van gal
Wahaooo!!!! Hizi ni habar njema ,Hullcity nao ni wasumbufu sana itabidi tuwakazie kweli kweli....
Tutawashinda tuu mamy kwa kuwa wachezaji wetu walio majeruhi nazan ni luke shaw ila wengine wapo fit....de gea nae bado tunae na yupo fit kuwavaa hullcity na rooney nae tunae. Mungu atusaidie..
Glory glory #mufc
DDG atakuwepo kumbe? Mimi nilijua hatakuwepo maana zile poz zake za kuaga nikajua ndo tushaagwa mazima.........
DDG atakuwepo kumbe? Mimi nilijua hatakuwepo maana zile poz zake za kuaga nikajua ndo tushaagwa mazima.........
Always man united! I won't change.
even if u cut my veins, blood is red.
Jaman poleee....basi acha nikukumbushe na kesho ni jumamosi
Hii game inabidi tufungwe tu jamani ili Steve Bruce nae abakie kwenye ligi jamani. ....Bruce ni mwenzetu yule, mi kwa mara ya kwanza naungana na wapenzi wengi wa man utd hapa UK kuombea westham United amfunge Newcastle then man utd apoteze kwa Hull. ....ndio fadhila zenyewe kwa legendary Steve Bruce
Huo mchezo mchafu aaseh ....Hii game inabidi tufungwe tu jamani ili Steve Bruce nae abakie kwenye ligi jamani. ....Bruce ni mwenzetu yule, mi kwa mara ya kwanza naungana na wapenzi wengi wa man utd hapa UK kuombea westham United amfunge Newcastle then man utd apoteze kwa Hull. ....ndio fadhila zenyewe kwa legendary Steve Bruce