Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 448
Nicolas Otamendi je anaweza pale baki ya man
Kustaafu mpira
Sijui nihamie Man U??
Sijui nihamie Man U??
some how anaweza huwa namuangalia sana pale valencia, ana roho ngumu na mtu wa maamuzi sana, nafikiri anaweza kutusaidia pale center backNicolas Otamendi je anaweza pale baki ya man
World class defender, one of the best in the world in his position on this seasons performance. Would be a good addition, which is likely to happen considering he had recently said his dream is to play in the premier league for UnitedNicolas Otamendi je anaweza pale baki ya man
chelsea three yrs ago,liverpool ten yrs ago......ARSENAL???!!!.....EEEEERRR NOPE!
Kwa nini angel di Maria saa hivi anaanza sub wakati ni mzuri kuliko Ashely young
Sky sources understand that Liverpool forward Raheem Sterling is not on Manchester Uniteds radar and they have no plans to sign him
Hiyo kitu haiwezekani wachezaji wa LFC kuja MANU na wa kwetu kwenda huko, MANU na LFC ni wapinzani wa jadi Fulani, mwenye rekodi yoyote ya wachezaji waliotoka LFC kuja MUFC au MUFC kwenda huko wamwage data hapa.......
kwa mikono miwili unakaribishwa joh