Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Matokeo. ..madogo wamefungwa tatu kwa moja. ....labda kwa kuwa game ilikuwa ni ya kukamilisha ratiba, maana wameshalibeba kombe la ligi ya U21

Aiseee!!! Ukishalichukua kombe morali yote inaisha sijui kwanini!!
 
Aiseee!!! Ukishalichukua kombe morali yote inaisha sijui kwanini!!

Ila magoli waliyofungwa yameniudhi kwa kweli, naona kama umakini mdogo wa mabeki na kipa. ....maana magoli mawili yamefungwa kwa mashoti yaliyopigwa nje ya box, yamempita kipa kwenye mbavu.
 
daa! huyo dogo pearson namhusudu sana! hajawah pata nafas kikosi cha kwanza lakn man utd wasipomuuza atakuja kutusaidia sana ktk dimba la kat anampira flan mzur sana aisee kama dinho flani hivi... van gaal akimpanga leo ntaenjoy sana kumuona huyu dogo!

dogo ni tatzo huyo, ana free kick za hatarii, kuna game waliotoka droo na chelsea round ya kwanza, alimpiga tobo loftus-cheek ya kimaudhi balaa, kuna game nyingne na sunderland aliwakusanya mabeki kama watatu kawazungusha afu kauacha mpira pale pale kaja kapiga dogo flan anavaa namba 5
 
Amen, na iwe hivyo

watu mna roho ngumu nyie, hamumuonei huruma Bruce?? is our legend jamani.
for me matokeo yyte yatakayokuja fresh tu, japo nitaumia sana hull city akipigwa,
ila angekua yule mshenzi Kean walahi nisingempa hata nafasi ya kujitetea
 
Poa herrera acha tumwonee huruma tuu sitaomba tena wafungwe acha Mungu afanye yake... kwa kuwa hata tukifungw haidhuru sana fresh tuu acha bruce apate ulajii
 
Last edited by a moderator:
watu mna roho ngumu nyie, hamumuonei huruma Bruce?? is our legend jamani.
for me matokeo yyte yatakayokuja fresh tu, japo nitaumia sana hull city akipigwa,
ila angekua yule mshenzi Kean walahi nisingempa hata nafasi ya kujitetea

Nkamu gwangu nilipenda sana tumalize point 72.....
 
Game yetu ya mwisho wa msimu 2014/15....

Lineups
Hull starting eleven
22 Harper
5 Chester
21 Dawson
15 McShane
27 Elmohamady
7 Meyler
8 Huddlestone
29 Quinn
11 Brady
28 N'Doye
18 Jelavic

Man Utd starting eleven
32 Valdés
25 A Valencia
12 Smalling
4 Jones
5 Rojo
17 Blind
8 Mata
21 Herrera
7 Di María
18 Young
10 Rooney

Hull Substitutes
1 McGregor
2 Rosenior
4 Bruce
9 Hernández
20 Sagbo
24 Aluko
26 Robertson

Man Utd Substitutes
11 Januzaj
13 Lindegaard
20 van Persie
31 Fellaini
33 McNair
42 Blackett
49 Wilson

*****
Referee
Lee Probert
 
ImageUploadedByJamiiForums1432473779.722330.jpg
 
Back
Top Bottom