everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Fellain wameamua kumfanya substitute leo?
Mumy nilikwambia DDG ndo alituaga mazima.....
Fellain wameamua kumfanya substitute leo?
Mumy nilikwambia DDG ndo alituaga mazima.....
Wacha niseme nimeota ila natamani leo yatokee maajabu tumpige Hull 0-4 na arsenal wapigwe 3 null ...
Kama umenielewa lkn..
(Anything can happen though)
#GGMU
Hahahaha!!! Ndoto ya uongo WBA amepokea kipigo cha fasta fasta 2 bila,leo WBA wanapwelepetwa....
Ni tatu tayari sio mbili
Duh!! Leo wamepatikana, walitufunga, wakamfunga CFC nikasema wataendeleza ubabe....
Congratulations!!! £150Millions imewapatia 4th spot title. Next transfer window mkitumia £150 Million nyingine mtaweza kutetea 4th spot title next season. Hull City wanawapeleka puta hapa wakati huo huo Walcott kashatupia hat trick.
Duh!! Leo wamepatikana, walitufunga, wakamfunga CFC nikasema wataendeleza ubabe....
Arsenal ana hasira balaaa
Mbaya zaidi kwa Looserfools washachezea nne bila tayari kule
Hawajawakuta Stoke, washapiga mtu 5-0
DDG still majeruhi....gemu ya leo hatakuwepiDuuuh kumbe hayupo? Au mgonjwaa?
Akwende zake anapenda kubembelezw sana
Nyie mmetumia £ mil ngapi kuanzia 2004,kutetea ubingwa wenu?