everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Hiyo sherehe ya kutawazwa ifanyike guest gani??!
haaaaa!!! Humu humu itafanyika..... Umeninyima kufungua champagne ngoja niandae yangu......
Hiyo sherehe ya kutawazwa ifanyike guest gani??!
haaaaa!!! Humu humu itafanyika..... Umeninyima kufungua champagne ngoja niandae yangu......
Duh!!! Kuna watu mnajua kuyakimbia majukwaa yenu .....dah!! Mngepata vitatu mfululizo nahisi na Uzi ungekuwa closed ......
rubaman toka mafichoni ....lol
BAK yupo mtaa huu kweli?
Wacha mambo yako wewe Dangote hana hela ya kununua Manu ila ana hela ya kununua Arsenal.
Glazers wameshapata tajiri ..... .... Dangote anataka kununua Manure na golikipa wenu amesepa kazi mnayo mtamtegemea Young Diver chacha ... ... . poleni wakuu khe he khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wacha nisepe mie niangalie mechi ya Rafa chacha, amkung'ute huyu Warinka kama katoto kadogo .... ... ..
Hii mechi iliishaje nilizidiwa na usingizi nikaulaza. Mpaka naingia kulala ilikuwa set ya 2 na Wawirinka alikuwa anaongoza 4 - 1
Tiba
GGMU........all the best MANU.
Mambo mumy? Leo tena lazma tuchomoke..point tatu izo ni za kwetu
Mambo poa kabisa hofu kwako tu dear.......point tatu ndiyo muhimu kabisa kuliko chochote kile.
Mi mzima kabisa Cute B.
Piga hao gunners Leo mpk Yule Mzee ugonjwa wake Wa kuanguka uje!
Afu nathikia wana na majeruhi wa kutoshaa...ni kweli?
Hao bench ndo wanataka namba jepe imani na majeruhi ha ha ha
Hahahaaa....vipi bado mnataka nafasi ya nne?