Duh!!! Kuna watu mnajua kuyakimbia majukwaa yenu .....dah!! Mngepata vitatu mfululizo nahisi na Uzi ungekuwa closed ...... rubaman toka mafichoni ....lol
Duh!!! Kuna watu mnajua kuyakimbia majukwaa yenu .....dah!! Mngepata vitatu mfululizo nahisi na Uzi ungekuwa closed ...... rubaman toka mafichoni ....lol
![]()
Prof kama kawa anaandaa vijana kwa mtanange wa J2 .... ... .. .patamu hapo.
Bora umerudi nilifikiri ushawahi kamba kama kawaida yenu kimoja tu mnapotea hivi je mngepata vitatu mfufululizo si mngekuwa ni marehemu? Khe khe khe khe eeeeeeeee...... Mentor anasema wazee wa ball possession tunakutana j2 je nani mkali??????? Teh teh teh....