Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mumy nakutegemea kwa updates naenda kwa Ntuzu kuangalia mpira naye leo nahitaji appetizer sijui ntawahi maana anakaa nje ya darisalama.....lol

Karibu sn mamito tuangalie mupira wote.

Kwa Ntuzu uwiiii huyu mtu si salama kabisa.....vaa surual tatu za jeans na mkanda wa kufungua na code
Hahahahaa Nina kisu kikali nitachana jeans zote.

Njoo na wewe uangalie mpira.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sn mamito tuangalie mupira wote.

Hahahahaa Nina kisu kikali nitachana jeans zote.

Njoo na wewe uangalie mpira.

Hahahaaaaa Ntuzu una DSTV kweli? Wewe utakuwa unamtaka everlenk maana mimi najua king'amuzi chako ni cha startimes ..ila everlenk ameniambia nimpe updates inawezekan anakuja kucheza mpira na wew tehe teheee
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa Ntuzu una DSTV kweli? Wewe utakuwa unamtaka everlenk maana mimi najua king'amuzi chako ni cha startimes ..ila everlenk ameniambia nimpe updates inawezekan anakuja kucheza mpira na wew tehe teheee

Hahahaha!! Bora umeniambia maana kaniambia eti niende tu atanipa hadi Ferrari.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom