An EPL medal better than having kids? '...having kids' really!
Point yako ina mashiko..... Kunywa kinywaji chochote hapo kwa bill yako...... Lol
Nakusalimia mamito wangu lol.
Asante babito kwa salaam, uko poa lakini? Duh!! Ligi imeisha tutakuwa tunakutana wapi tena? Dah!! Mwezi wa nane parefu sana......
Wanasema mwaka huu miezi mitatu ya mwanzo Jan-March mapato yameshuka kidogo
Kuna Uzi nataka nianzishe ambao utakua ni Wa uchambuzi tu Wa soccar na timu mbali mbali usajili na pre season games, uwezo Wa makocha ubora Wa lingi na nini kifanyike, wapi timu zilikosea etc. Huu Uzi utakua ni huru ktk maoni kila MTU ataweza kuchangia. Nafikiri hii itakua ni Nyumba ambayo tutakua tunakutana Mara kwa Mara bila kusahau habari moto moto.
Mh itadumaza majukwaa yetu!
Mi nadhani tutakutana kwenye copa nini sijui ile ya amerika kusini! they must be fun...

Majukwaa yetu yataendelea vile vile kama kawaida,unajua kuna majukwaa mengine huwezi enda kukandia ila wewe mwenzetu Mentor unayaweza kweli....lolMh itadumaza majukwaa yetu!
Mi nadhani tutakutana kwenye copa nini sijui ile ya amerika kusini! they must be fun...
Okay. Lkn hiyo ni kwa miezi miwili tu hii mpk ligi ianze au wewe unaona ni bora tubaki hivi hivi tu!
Wazo zuri sana babito itakuwa njema sana, nawe kunywa kinywaji chochote kwa bili yako.....
Unajua ni kweli kuna majukwaa mengine huwezi kwenda kusema chochote nafikiri hili litasaidia maana ata ktk hayo majukwaa kuna wanadau wanaogopa kutoka huko na kuja ktk majukwaa yetu watashambuliwa na wenzao.
Mi nafikiri hii itakua poa tutakua tunapata uchambuzi muzuri kutoka Spain Italy France Germany na England vzr kabisa.
Okay, ni sawa...so tutaongelea ligi zote!
Itapendeza ikichambua ligi zote na ninakutawaza utakuwa Cameraman wetu.. ..... .