Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Attachments

  • 1431869956602.jpg
    1431869956602.jpg
    34.2 KB · Views: 51
Hahahaha!! Bora umeniambia maana kaniambia eti niende tu atanipa hadi Ferrari.....
Ntuzu ninaye mjua mimi? Labla mwingine...apo anakungoja ukapike chakula...
Afu leo amepiga usafi balaaa yaani tangu asubuhi... ikitokea usipoenda ataumia sana maana si kawaida yake kudeki nyumba siku ambazo si sikukuu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahaha!!! Unalo pole ikurudie mwenyewe!!! Jana kichapo kama kawaida Pepe kafanya yake...... Hahahahaha pole mjerumani wewe!!!!!!!!

😡:banghead:😡 Yani huyo PEP.. anabahati sana yupo huko... nalichukia hili jamaa yani basi tu..

Pep ondokaaaaaaaa... everlenk usinicheke basi.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu ninaye mjua mimi? Labla mwingine...apo anakungoja ukapike chakula...
Afu leo amepiga usafi balaaa yaani tangu asubuhi... ikitokea usipoenda ataumia sana maana si kawaida yake kudeki nyumba siku ambazo si sikukuu

Usiniambie!!!....... Nitaghairilisha nimvizie siku nikute maboxer yake machafuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom