Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

dont argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat u with an experience, chelsea kaenda five years without a trophy, arsenal ten years, liverpool two decades, manchester united only 3 yrs but ndio inaongelewa kuliko hao wengne, this simply tell me that MANCHESTER UNITED NDIO TIMU INAYOOGOPWA na wanajua watakua kwenye wakati mgumu pindi ikirudi kwenye moto wake, so let them use a small chance they got to talk,
VIVA UTD, am RED and i will always be

ni kweli mkuu ila mkiwaga kwenye moto wenu huwa mnafungwa na barca hususani fainal
 
Pole sana wangu, tuombe sana Mungu hii mechi ya jmosi angalau atuone, juzi Crystal Palace wamecheza vizuri tuombe LVG aje na mbinu ambazo zitabadili matokeo.

Tatzo LVG anaiga sana Barca style wakat yeye anaukosefu wa MSN maana yeye ana clouds fm sasa magoli lukuki yatatokea wap
 
Habari njema
 

Attachments

  • 1430996172541.jpg
    1430996172541.jpg
    107.2 KB · Views: 97
United has reached an agreement with PSV Eindhoven & Memphis Depay for the player's transfer, subject to a medical. Pending the successful completion of the medical, the deal will go through once the transfer window opens in June.
 
man utd have reached an agremen with PSV for the summer transfer of memphis depay,
21 years old has agreed his long awaited move to OT subjected to a medical after the red devils saw off late interest from bitter rivals liverpool.
"we are very proud of this upcoming transfer which happened quickly" said PSV's technical manager marcel brands.
WELCOME DEPAY
 
Asije akawa kama Wilfred Zaha,tulimpokea kwa matumaini makubwa lakini mwisho wa siku tukaambulia chenji tuu
 
Kijana yupo vizuri msimu ujao wakaanga sumu watainywa wenyewe.

Hahahaha huwa napenda hizi predictions za wapenzi wa mpira. Nakumbuka mlikuwa mnasema hivyo baada ya kumnunua Di Maria, Falcao pamoja na wachezaji wengine.... Anyway ndiyo vijimambo vya kabumbu hivi, kila mtu ana haki ya kusema hivi.
 
Asije akawa kama Wilfred Zaha,tulimpokea kwa matumaini makubwa lakini mwisho wa siku tukaambulia chenji tuu

Di Maria, Januzaj, Falcao wote mlikuwa na matumaini makubwa. Wachezaji nyota dizaini ya kina CR7, Messi huwa wanatokea mara moja moja baada ya miongo kadhaa. Tusubiri tuone atakavyokuwa.
 
TOP 20 MOST VALUABLE FOOTBALL CLUBS IN THE WORLD
Club ValueRevenue
1. Real Madrid. £2.13bn £489m
2. Barcelona £2.07bn £431m
3. Manchester United £2.03bn £461m
4. Bayern Munich £1.54bn £434m
5. Manchester City £905m £369m
6. Chelsea. £898m £345m
7. Arsenal. £859m £320m
8. Liverpool. £644m £272m
9. Juventus. £549m £249m
10. AC Milan. £508m £222m
11. Borussia Dortmund £459m £233m
12. Paris Saint-Germain £416m £422m
13. Tottenham. £394m £192m
14. Schalke. £374m £190m
15. Inter Milan. £288m £146m
16. Atletico Madrid. £286m £152m
17. Napoli. £232m £147m
18. Newcastle. £229m £138m
19 West Ham. £203m £122m
20 Galatasaray. £193m £144m

Forbes' most valuable football clubs list revealed and explained

Read more: Real Madrid lead the way as most valuable club in the world at £2.13bn while Barcelona and Manchester United make up top three | Daily Mail Online


Licha ya kukosa UCL mwaka huu, timu kithamani bado ipo vizuri....Real Madrid wameipita United kwa £0.10bn tu....na hapo deal la Adidas halijawa factored in....mwakani itakuwa balaa....pia hata kimapato timu ipo vizuri...ni Real tu ndiye mapato mengi..

Naona mmeanguka kimapato na kithamani sababu mlikuwa wa pili(kama sikosei), Arsenal nao wameanguka kimapato. Nimeona hata Real Madrid nao wameanguka kimapato lakini bado wapo nafasi ya kwanza. Competition ya utajiri inazidi kuwa kali kila mwaka. Watu wa business tuelezeni hii kitu inavyokwenda please.
 
Di Maria, Januzaj, Falcao wote mlikuwa na matumaini makubwa. Wachezaji nyota dizaini ya kina CR7, Messi huwa wanatokea mara moja moja baada ya miongo kadhaa. Tusubiri tuone atakavyokuwa.

Sio tulikuwa,ni kwamba bado tunamatumaini nao ni kwamba tu team inakosa wachezaji kadhaa wakuifanya iwe imara.Natumaini usajili wa safari hii LVG atafanya marekebisho sehemu husika.
 
Asije akawa kama Wilfred Zaha,tulimpokea kwa matumaini makubwa lakini mwisho wa siku tukaambulia chenji tuu

Wilfred Zaha ni mchezaji wa kiingereza,huwa wanakuwa published sana na kugewa sifa nyingi hata wasizostahili..mfano yeye,Sterling na Kane.

Ila Memphis anajipublish mwenyewe tu kutokana na uwezo wake.
 
Baada ya togwa ni kuoga......
Hata waseme vipi Chelsea ni wageni wa vikombe ndio maana wanachonga sana. Acha wajitahidi angalau wafikishe mataji kumi ya EPL maana Wazee wa Old Trafford wakitake off nj mpaka Taji la 40, sidhani kama washabiki wa chelsea walioko hai leo wataliona tena acha walishike kwa mara ya mwisho. Viva Man U wazee wakujaza Makabati kwa vikombe na medals sio hawa wengine vikombe sababu ya uchache wake vimewekwa juu ya meza tu.


Question remains: when will the taking off be? It was supposed to be this season...

In Nzi's speech Rent boy Mentor aka Mcharo wangu naomba apaone hapa.........

Mwambie Nzi aweke na msimu uliopita mlikuwaje...


We have the best central defender in Terry...endeleeni na hao U23 wenu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom