Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It is about the Benjamins..5 United players in the top 10 best shirt sales in the EPL...

RvP - zimenunuliwa jezi zake 120,000
Falcao - 165,000
Rooney - 188,000
DDG - 195,000
Di Maria - 589,000

Na hapa zinaongelewa jezi original (ambazo kwa siyo chini ya pound 56 kwa short-sleeved), na siyo za Kariakoo (za elfu 30,000?)

Hivyo basi, mchezaji kama Di Maria anayelipwa pound 280,000 kwa wiki, kwa mauzo ya jezi yake tu, United haijapata hasara hata kidogo. Kama tukichukulia kuwa watu walilinunua jezi zake za short sleeve, ina maana United imetengeneza pound 32,984,000, ukigawanya kwa 12, unapata pound 2,748,666.666. Di Maria kwa mwezi anapata pound 1,120,000. Sasa mauzo ya jezi zake tu yanatosha kumlipa mshahara, na bado timu inabaki na pesa zaidi ya asilimia 50 ya anacholipwa....

Hiyo kwa Di Maria tu...siwaongelei wengine...#WakaangaSumu watapasuka

2723746D00000578-3017864-image-a-72_1427714910654.jpg

Manchester United star Angel di Maria is most popular Premier League player based on shirt sales ahead of Alexis Sanchez and Diego Costa | Daily Mail Online

Naombea muendelee na kununua wachezaji "wauza jezi" kila season.

#ItsAllAboutTheBenjamins
#TheSinkingShip
 
mpira biashara kaka, ndani na nje ya uwanja, we unafikiri kwanin abrohmovic alikua hataki kumuuza torres licha kuvurunda? watu wanatafuta faida kaka, hujui kwanin wenger kila key player wake alikua anamuuza?? au unafikiri hataki makombe?? pesa m baba!!!
 
Endeleeni kuweka pesa mbele muwe kama wale Majogoo wasiotembea peke yao..
 
Liver atamfunga Chelsea na nyie mtafungwa na Crystal...

My prediction cute b

- Ahahah anything to get u out of the top four

- Mou atapanga kikosi mixed

- hata wale regular XI watacheza kikawaida sana...motivation ya kushinda haipo tena!

Nyie mpango wenu si kama wa Yanga tu alichomfanyia simba!!? Lakini Mou bado anamuheshimu mwalimu wake anaukumbuka mchango wake kasema atalipaki basi Mara mbili ya siku ile aliyocheza na ticha wake...... Tehe tehe tehe tehe
 
Last edited by a moderator:
Michael Carrick is out for the rest of the season, but Luke Shaw, Jonny Evans and James Wilson are available to face Crystal Palace: Van Gaal rules Carrick out for the season - Official Manchester United Website

Ohhhh My God!!! Hizi ni habari za kusikitisha kuhusiana na Carrick anyway Bwana azidi kumponya.........dah! Evans mwenzenu sitapenda nimuone akicheza anyway labda benchi linaweza kuwa limempa funzo na akicheza apewe dakika chache sana ......anyway Mungu tusaidie tuicheze vyema hii karata yetu ya mwisho......GGMU
 
Uwezekano wa kupata kipigo cha nne ni mkubwa kuliko kupata ushindi, japo mpira ni dakika 90, tusubiri tuone! Tunawakaribisha tusherehekee ubingwa j2 whatever the results!
 
Hongereni sana, usituombee njaa bana kwani vita tena kombe si ushachukua!! Nipigie LFC tu tuje tufungue shampgne wote. .. ...
 
Mamito miss sn wewe......au mafuriko ya jangwani yamekupitia?

Mmmmh mko Na nani hii weekend-mko Na vijana Wa Alan Pardew?
 
Babito taratibu watoto wa OT hatukai mabondeni pesa ipo twakaa sehemu ya hadhi yetu.....lol, babito nimekumiss pia nateseka na baridi tu naona rent boys mmeishindwa ofa yangu......

Aiseee acha tu weekend hii tupo na wale watoto wa Alan kama wewe siyo mkaanga sumu naomba maombi yako.....
 
U r very funny my dear....nyie si mnapenda wauza jezi bana. Endeleeni na biashara.

Ila mjifunze, 'good business is being able to balance your books no matter what.'

Hivi ofa and terms anatoaga mnunuliwaji ama mnunuaji??!
 
Darling acha hizo biashara ni biashara tu ilimradi ni halali na haikutupi.........BTW Mcharo wangu bado tunajenga timu vijembe hivi virushe msimu ujayo........usijali japokuwa nimekuzid lakini utaendelea kuwa Mcharo wangu my beibiiii.....lol
 
Babito taratibu watoto wa OT hatukai mabondeni pesa ipo twakaa sehemu ya hadhi yetu.....lol, babito nimekumiss pia nateseka na baridi tu naona rent boys mmeishindwa ofa yangu......

Aiseee acha tu weekend hii tupo na wale watoto wa Alan kama wewe siyo mkaanga sumu naomba maombi yako.....

Nawaombea kwa kweli mshinde maana duh hatari
 
Than loosing to Crystal Palace!
Hahahaaa aya bhanaa

cute b ila somehow naamini the best Liverpool can get is a draw. Sidhani kama yeyote atakayepangwa atakubali kucheza kichovu maana hiyo ndo chance yake ya kujiuza kwa Mourinho.

Besides hata Liver wakitufunga..bado mtakuwa na point moja mkononi na two games to go...the CL spot is yours to lose!

All the best against Crystal Palace. Hope Rooney starts as number 9!!!

Darling acha hizo biashara ni biashara tu ilimradi ni halali na haikutupi.........BTW Mcharo wangu bado tunajenga timu vijembe hivi virushe msimu ujayo........usijali japokuwa nimekuzid lakini utaendelea kuwa Mcharo wangu my beibiiii.....lol

I have a very bad experience na wanawake wanaoshabikia mpira..but I will gladly give you the benefit of doubt.

Now you choose, where should we celebrate our win - u getting the CL spot and me winning the EPL???!
 
Last edited by a moderator:
cute b ila somehow naamini the best Liverpool can get is a draw. Sidhani kama yeyote atakayepangwa atakubali kucheza kichovu maana hiyo ndo chance yake ya kujiuza kwa Mourinho.

Besides hata Liver wakitufunga..bado mtakuwa na point moja mkononi na two games to go...the CL spot is yours to lose!

All the best against Crystal Palace. Hope Rooney starts as number 9!!!

I have a very bad experience na wanawake wanaoshabikia mpira..but I will gladly give you the benefit of doubt.

Now you choose, where should we celebrate our win - u getting the CL spot and me winning the EPL???!

Oooh! Thank you Mcharo, you make me feel like a woman.........nawaomba sana msifanye walichofanya Yanga nipigieni tu LFC tusherekee mwali wenu vizuri........nataka niwakilishe vyema CL, England imekosa mwakilishi mzuri kwenye UEFA..........lol . ......usinune basi msimu ujao finali ya UEFA ni Mimi na Wewe.
 
Hahaaaaa mtani nimeiona hii ila usitegemee hilo halitatokea Chelsea anafungika kurahisi sana
 
Back
Top Bottom